vitani kiaje? au ndiyo na ibilisi?
Ahaa wajifanya mjanja e..ngoja sasa uone!
Alafu mme wako mbona kakimbia na deni langu!
Alafu mme wako mbona kakimbia na deni langu!
Hahaaaa mwanaume balaa lol... itabidi um singizie yule nanihii
Hehee ndo gia ya kuniweka mbali nisidai changu siyo!
yalaaaaaaaah! naafwaaaa mieeee
nimefuta kauli! nilikuwa namtania 'Valentina' tuu
hahahahaha usijaribu makali ya panga kwa kujikata mwenyewe lol
duuh miss neddy hufai kabisaaaa huna maana wewe