HARAKATI Baada ya HESLB Kutunyima Mkopo + Priority Course

HARAKATI Baada ya HESLB Kutunyima Mkopo + Priority Course

Jerhy

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2013
Posts
3,134
Reaction score
998
Harakati madhubuti kujikwamua kupata chochote ili kuchangia gharama za masomo ya elimu ya juu hivyo basi waweza nisaidia kupata tuisheni fii kwa kupachesi kamjengo haka kwa bei nzuri na maelewano pia yanakubalika.

Kupata mchoro wa Nyumba ya kisasa na sifa zake:
1.Masterbedroom ya (4 x 5M)
2.Lounge/Sitting room (4.5 x 5.5M)
3.Kitchen
2.Vyumba viwili vya kulala size (3.2 x 4.2M)
5.Dinning yenye (2.5 x 3.6M)
6. Common toilet
7. Car port inside( mahali gari itakapo hifadhiwa ndani

Ikiwa na michoro yake yote yaani
-Floor plan
-Roof plan
-Section plan
-Elevation 2D View
-Elevation 3D View
-Site plan. Na pia
-Sewage system.

Contacts: 0787 459 850

View attachment 116369 View attachment 116371

View attachment 116372 View attachment 116373

View attachment 115160
 
ujibu sasa mimi naweza kusema wewe nitapeli..haya safisha jina lako afu tuweke wazi we nimwaka wangapi kwasababu inaoneka uclass unaijua sana afu leo unasema ujapewa mkopo? achaa hizo nahiyo jkt umekwenda lini?
 
pole sana ajira hazipatikani kwa mtindo huu jipange sawasawa
 
Hi! Wazo lako zuri, ila je wajua kuwa Archtect mwenye ujuzi hatafti ajira?

Duuu kumbe tapeli,kibaka,jambaka....

Mara uclas,mara coet,mara archtect mara civil...

Tahi.ra ajitokeze achorewe ramani na form6 leaver,kutoka jkt....

Bwana mdogo soma kwanza nitakutafuta 5yrs to come....
 
Jamani leo tumerudi tena kwa wazir mkuu,kiukweli hatjapata jibu lolote la msingi zaidi ya kufukuzwa na walinzi pale getini,kwa waziri mkuu.Kama kawaida ye2 hatukukata tamaa baadhi yetu tukaelekea kwa mkuu wa nchi(IKULU),Tumeambiwa kesho turudi saa nne hasubuhi.ktakachojil ntawafahamisha.
 
Poleni na harakati za kutetea wanyonge.mie nimekosa mkopo,na tayari nimerpot.niliandika jana kuomba ushauri kama naweza kuishtaki bodi.naomba 2taftane kwenye namba 0782822716.naomba mnisaidie kwa wale mtakaorudi kesho ikulu,ilikama itawezekana niwae index yangu na jina
 
Jamani leo tumerudi tena kwa wazir mkuu,kiukweli hatjapata jibu lolote la msingi zaidi ya kufukuzwa na walinzi pale getini,kwa waziri mkuu.Kama kawaida ye2 hatukukata tamaa baadhi yetu tukaelekea kwa mkuu wa nchi(IKULU),Tumeambiwa kesho turudi saa nne hasubuhi.ktakachojil ntawafahamisha.

Napenda sana hizi movements zenu, BIG UP...

Nawaasa tena; katika harakati zenu wekeni nidhamu+heshima mbele...
msithubutu kuleta fujo ya aina yoyote,msitoe lugha chafu,msiharibu mali wala kutumia nguvu physically....

Hoja yenu ni ya msingi sana, Baba Ridhiwani atawaelewa,naye akileta mapuuza fikeni kwa Vyama vya upinzani....
 
Kwan chadema hamuoni au nyie vurugu na kuandamana 2
 
Safi sana wanaharakati. Haki ni yetu,nchi yetu,kodi zetu.. Kwa nini tusifaidi kama wale wenzetu? Together we can.
 
Jamani leo tumerudi tena kwa wazir mkuu,kiukweli hatjapata jibu lolote la msingi zaidi ya kufukuzwa na walinzi pale getini,kwa waziri mkuu.Kama kawaida ye2 hatukukata tamaa baadhi yetu tukaelekea kwa mkuu wa nchi(IKULU),Tumeambiwa kesho turudi saa nne hasubuhi.ktakachojil ntawafahamisha.

Ni kweli kukosa mkopo inabidi uwe na harakati lakini mimi siendi huko kuandamana natulia studio nadesign mijengo mwisho w siku kidgo kitapatikana
 
You are not a great thinker at all, ila una vitabia vya facebook shame upon you

Naomba tuheshimiane,damn...

Sina mazoea na wewe,umeshindwa kujiexpress hapa uzini unanifuata kwenye PM...

::::::::shameless::::::::
 
------- sana hi serikali yetu ya sasa yan one ya pcm mkopo hana hata kama ulisoma prvate
 
Naomba tuheshimiane,damn...

Sina mazoea na wewe,umeshindwa kujiexpress hapa uzini unanifuata kwenye PM...

::::::::shameless::::::::

Unamatatizo ya akili vinginevyo ungeacha kutukana, wewe ni punguani comments zako za kijinga ndo mtaji wako, jambo lisilokuhusu achana nalo
 
Unamatatizo ya akili vinginevyo ungeacha kutukana, wewe ni punguani comments zako za kijinga ndo mtaji wako, jambo lisilokuhusu achana nalo

Nakuambia tena,naomba ujiheshimu....

Tena shika adabu yako,kama ulivofundwa na wazazi wako...

Maswala ya kuniPM wakati sikufahamu wala sijakuruhusu,SIPENDI,kama hujui sheria za jf fanya marejeo...

Kama umeshindwa kujieleza na kueleweka jamvini,piga kimya lalia mgongo,sio kusumbua watu kwenye PM....
 
View attachment 116374

The reason people buyhillside homes is for the view, which may be panoramic or quite narrow. Thehome's value is based on this, so all landscaping must be subordinate to theview.
 
Back
Top Bottom