Ushamega apple unaanza visingizio enhee?? Subiri 2014 mtimize ahadi yenu na hapo ndipo mtakuwa na uhalali wa kungonoka.
hairisha harusi mpaka 2020
siyo mwanaharakati ameshasoma alama za nyakati, ww unampango wa kumwoa lini? au unamwambia mpaka mambo yawe sawa....lini?naomba ushauri nifanyeje kwan mwenzangu amekuwa mwanaharakati mno.
siyo mwanaharakati ameshasoma alama za nyakati, ww unampango wa kumwoa lini? au unamwambia mpaka mambo yawe sawa....lini?
N inavyofahamu mm hakuna mwanamke/mwanaume anayempenda mwenzake kwa dhati atampa ruhusa ya kuwa na mpenzi mwingine, hivyo km hafanyi utani basi anatafuta namna ya kusitisha uhusiano weno maaana kuna ambaye yupo tayari kumpa anacho taka "NDOA"
Kimbia....kimbia.....asije akafanana na wa kwangu ukitaka kumega mpaka ununue zawad ya kumsuprise ndo ujue siku hiyo unafikiriwa, haki Mungu huyo atakua analala na bukta ya jinsi.
vuta subra ndugu, but mulika mwizi. isije ikawa kuna njemba anapewa. lol
we kongosho acha kumtisha mwenzako loh!........mwaya hutanyimwa msubirie2ha ha ha, kwa kweli.
Huyu atakuwa anapangiwa mara moja kwa mwezi ndo anakula mzigo.
Jiweke pembeni mapema mkuu, Uanaharakati na ndoa ni kama pilau na mlenda.
Kwani wewe ulikuwa na nia gani kwake...kwa miaka 9 uliyotumia inatosha kukupa confirmatory test ya kutosha na wala haina haja ya kuuliza ushauri..otherwise ulikuwa hujampenda.
tafuta kitu ingine kikali kuliko yeye afu pita nae mbele yake ukiwa umemshika kiuno uone kama ataendeleza huo uanaharakati wake.