Harakati mapenzini.....!

Harakati mapenzini.....!

naomba ushauri nifanyeje kwan mwenzangu amekuwa mwanaharakati mno.
siyo mwanaharakati ameshasoma alama za nyakati, ww unampango wa kumwoa lini? au unamwambia mpaka mambo yawe sawa....lini?
N inavyofahamu mm hakuna mwanamke/mwanaume anayempenda mwenzake kwa dhati atampa ruhusa ya kuwa na mpenzi mwingine, hivyo km hafanyi utani basi anatafuta namna ya kusitisha uhusiano weno maaana kuna ambaye yupo tayari kumpa anacho taka "NDOA"
 
tulipanga ndoa 2014 kwan tumemalza chuo ndio kwanza tumeingia kazini bado mambo hayaja2lia, then kuna kitu umenisaidia! thanx..!
 
Kimbia....kimbia.....asije akafanana na wa kwangu ukitaka kumega mpaka ununue zawad ya kumsuprise ndo ujue siku hiyo unafikiriwa, haki Mungu huyo atakua analala na bukta ya jinsi.
 
huyo demu naona hajielewe-may be kaona huna mwingine au huna uwezo wa kupata mwingine-
cha kufanya na wewe anza harakati za kutafuta mwenzake then uoine atakuwaje...lazima awe mpole na ataacha mambo yake ya harakati
 
Kimbia....kimbia.....asije akafanana na wa kwangu ukitaka kumega mpaka ununue zawad ya kumsuprise ndo ujue siku hiyo unafikiriwa, haki Mungu huyo atakua analala na bukta ya jinsi.

huyu nae usipojikusanya na vizawadi wala hakuchangamkii!
 
vuta subra ndugu, but mulika mwizi. isije ikawa kuna njemba anapewa. lol

ha ha ha ha ha ha ha ha ha duuuh babaa!! umepata MPIKO mara moja tu chaliiiiii, huna lako tena,ameshapata mtu huyo anamsugua angalia ustaarabu mwingine tu hapo huna chako!!!
 
Ilopo hapo ni kutumia busara zaidi kwani miaka 9 si jambo la mzaha yafaa mtafutane na kukaa na kuwekana sawa hata kwakujishusha ili ili mfike suluhisho
 
Rukaruka weee, lakini huyo ndo anakufaa, oa, kisha uanaharakati wake utakuwa wa kutafuta maendeleo. Kwani we unataka akupe tu kila siku utimize haja zako kisha usepe?
 
usihofu ndiyo dozi yenyewe hiyo 1x9yrs u have to b patient usije ukajioverdose hata kama dawa tamu fata masharti ya kutumia!

mwambie mpango wa wewe kumuoa uko pale pale kama kweli unao kichwani kama mliyoahidiana ila kwa sababu anaonekana kana kwamba anakuringishia kipochi manyoya, mwambie unatafuta kipozeo wakati unasubiri siku kuoanaifike!
 
miaka 9 and still you have nothing, confirmed!!
No topic to discuss in here!!
Who cares anyway?
 
babu DC uko wapi? Wajukuu wanahitaji ushauri hapa!
 
Kwani wewe ulikuwa na nia gani kwake...kwa miaka 9 uliyotumia inatosha kukupa confirmatory test ya kutosha na wala haina haja ya kuuliza ushauri..otherwise ulikuwa hujampenda.

Umeona eeeheeee!!!! Ukizingatie kama ni kweli amesema yeye ndo alimtoa b...ra
 
tafuta kitu ingine kikali kuliko yeye afu pita nae mbele yake ukiwa umemshika kiuno uone kama ataendeleza huo uanaharakati wake.

Makubwa!!!!!!!!!!!!!!!! Itakuwa vipi? Kama na mdada pia atatafuta mwanaume aliye na uwezo kuliko kaka apite mbele ya kaka halafu amwambie jamaa naomba wapeane tongue kiss jamaa akiwa anashuhudia.
 
Back
Top Bottom