Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiwinta kikali huko. Na Kifaransa sijui. Au ni kazi ya kutoongea na kutotumia akili?Mwambie aje huku Quebec au Vancouver kuna kazi ya Kibantu, kupanda miti ya msitu..atatengeneza hadi dollar 500 kwa siku, five days a week..can't beat that!
Haya....!Companero,
..mimi nasubiri Uchaguzi Mkuu Zanzibar najua vurugu zake zitakuja na dili ya kujilipua ukimbizi.
..hapa nilipo nishatayarisha nauli yaani kama naiona Denmark,Finland,Canada,UK
Nani kakuambia ukikaa katika kijiji cha Tanzania leo hii utakuwa away from the vices and evils of capitalism? Au hujui kuwa vijiji vinauzwa sasa kwa wawekezaji walime jatrofa, wawinde wanyama na wachimbe madini? Na hicho Kilimo Kwanza ni ndoto ya alinacha, sasa hivi sekta inayoongoza kwa kukua ni minining, ikifuatiwa manufacturing, utalii na ujenzi. Ubepari na Ubeberu umetandawaa kila kona, kuanzia mijini hadi vijijini.
Sheila is one of 258 men, women, and children, from Mtakuja village who were displaced in late July 2007 to make way for an expansion of the Geita Gold Mine. In an interview with Christian Aid, Emmanuel Balitazali recalls officers from the district came at three in the morning when we were all asleep. They had machine guns and a court order evicting us. We didnt have a chance to pack; they put us in a vehicle and dumped us here. Abdallah Abedi is quoted as saying; we were moved here like people in a war-torn country, and now we are all tucked into a small place like prisoners who have committed the worst of crimes. One week after this photo was taken the villagers were informed by the local government that they would be evicted all over again from their current campsite. No provisions have been made for them, however, and they have nowhere to go.
Source: Someone Else's Treasure: Tanzania - Photo Essay by Allan Cedillor Lissner
Yapi? Loliondo? Pemba?
Mkandara,
..you think I'm joking.
..tayari kadi ya CUF ninayo.
..halafu nimejilengesha kujiandikisha kupiga kura nimezuiwa.
..ninachosubiri sasa ni uchaguzi ufanyike, halafu maandamano.
..sasa hapo nina jamaa yangu ni mpiga picha wa gazeti fulani.....
..ngoja niishie hapa, lakini nipo serious.
Kiwinta kikali huko. Na Kifaransa sijui. Au ni kazi ya kutoongea na kutotumia akili?
Lugha ya kuzaliwa haina tija hapa Bongo. Hivi sasa kuna mchakato wa kuifanya isiwe lugha ya kufundishia na kutoa elimu kabisa. Usifanye mchezo na Mitanzania/Miafrika ndivyo ilivyo!Wewe ni bonge la mvivu, usie na ubunifu, na mwenye kutegemea vilivyojengwa na wenzako.
Unaonyesha unataka kubeba maboksi ya kutumia elimu na lugha uliyo-master katika mazingira uliyozoea. Kwa mbongo hivyo vyote vinapatikana bongo tu. Na kama umeshindwa kutumia lugha ya kuzaliwa na elimu yako katika maeneo yako, basi utakuwa na upungufu wa akili na sio matatizo ya utawala.
Kama ulikuwepo mkuu wangu, sisi tunataka tubadilike tuwe mfano wa wazungu. Na nakuhakikihsia 90% ya wasomi wetu wote wanakubaliana na hatua hii kwa sababu hizo nilizoziandika hapo juu! kisha watabisha kuwa wao sii NDIVYO TULIVYO!Lugha ya kuzaliwa haina tija hapa Bongo. Hivi sasa kuna mchakato wa kuifanya isiwe lugha ya kufundishia na kutoa elimu kabisa. Usifanye mchezo na Mitanzania/Miafrika ndivyo ilivyo!
Mtanzania said:Jokakuu,
Hii ya kwako imenichekesha sana. Tayarisha na polisi kabisa wa kupiga bakora huku picha inachukuliwa. Baada ya hapo hata uende nchi gani, watakukubalia tu.
Huo nao ni ujasiliamali maana ni muhimu kuibadili challenge na kuwa opportunity.
Duh, wee mtu wa mahesabu kichizi yaani umeshajipanga kiasi hicho!Mtanzania,
..ku-stage kutwangwa virungu ni risk ndugu yangu. unajua hawa askari wetu wanaweza wasijue kinachoendelea wakafanya kweli.
..tayari ninazo picha nimepakiwa kwenye landrover defender nilipiga na vibaka waliokamatwa. picha nyingine nimepiga napandishwa kwenye karandinga.
..nilitaka nitengeneza ka-mkanda ka video halafu nikapakue[up load] kwenye youtube lakini nimesita. tatizo naona nikiwa na ushahidi mwingi maswali nayo yatakuwa mengi halafu naweza kuishia kujichanganya tu.
NB:
..kwa upande mwingine hizo picha naweza nisizitumie. kwasababu nia yangu ni kudai kwamba Polisi wananitafuta.
..sasa kama walishanikamata ni kunitupa kwenye karandinga naweza kuulizwa nilitoka vipi mikononi mwao?
Disillusionment is common amongst the 'educated' who somehow believe they can singlehandedly change the course of history or the state of affairs of societies. Their miscalculation seems to be that they fail to realize that in order to catalyze change, the conditions have to be right, in addition to possessing incredible abilities and will. In other words timing is everything. You either lack the required traits or have bad timing or both. Bora ukabebe maboksi usubiri..lol