Harakati za Ajira

Harakati za Ajira

let the caged bird sings

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2020
Posts
3,699
Reaction score
8,857
Ni kwa muda uliwai zunguka kutafuta b Ajira bila mafanikio?.
Rafiki yangu alitembelea limu zaidi ya miaka 4 hadi akachoka.
Taratibu akili imemkaa kakubali yaishe na kaoa hivi juzi.
Nope:, picha si ya jamaa yangu.

20220508_155501.jpg
 
Ukikitafuta sana kitu ndivyo unavyozidi ona kinakukimbia. Kitakujenga katika hali ya mawazo ya kukifikia na ndipo hapo utaanza kuwa dhaifu na mnyonge juu ya yale unayotamani.

Vyema kutenda kila siku, ya mbeleni yatakuja yenyewe
 
Shua. Kitu unapokipa attention zaidi ndiyo kinakuwa very complex.
 
Back
Top Bottom