Harakati za Ben Saanane kupambana na Rais Magufuli, ni njia sahihi ya kuwaridhisha wafadhili wake?

Wewe upo genge lipi?
 
Ukiwaona unazani wastarabu kumbe wa ovyo tu. Uccm na ucdm unatupeleka pabaya sana. Mnatuchosha na post zenu za kufurahisha waajiri wenu. @lizabon na wenzako akina saatisa.
 
Ukiwaona unazani wastarabu kumbe wa ovyo tu. Uccm na ucdm unatupeleka pabaya sana. Mnatuchosha na post zenu za kufurahisha waajiri wenu. @lizabon na wenzako akina saatisa.
 
Hii itakuwa mbinu ya wewe kulialia kwa wafadhili wako wakununulie vitendea kazi ili upambane na Ben!
 
Uyujamaa sio anajidhalilisha yeyetu Bali ata nduguzake wanajisikia vibaya.

Kila uchao ni kumsafisha maMvi na kumsifia DJ. Ata watoto wake wakija kuona mambo aliyokuwa akifanya baba yao watahuzunika sana. Mambo binafsi ya DJ yeye anasafisha tu !! DJ anatuibia kodi zetu yeye hajali anasafisha, Kashfa za DJ kuwavua vitimaalum Bikini yeye anasafisha tu. Ebu jitambue unaweza kukitetea chamachako lakini sio maovu ya watu binafsi. Unapoteza sifa za kugombea nafasi nyeti kwenye ii nchi maana Watanzania Wanakuona ni kibaraka na nimwepesi kutumika. Kwa ujumla unazo sifa za pepa ya toileti.
 
hivi sasa hivi kuna MTZ anahitaji mpaka ripoti za saanane kujua kwamba SIZONJE ameharibu kila kona? mimi hata sina muda wa kumsoma sanane but SIZONJE kaharibu kila kona. LIFE NI NGUMU TZ KUPITILIZA TENA KWANA WANANCHI WA CHINI KABISA NA WALA SIO WAPIGA DEAL.
 
Huyu mtoa mada hii ndio walio chonga kushawishi mpaka Ben ametekwa....
 
Hapa napata jibu alie usika na kupotea kwa Ben
 
Wakina Lizaboni wana habari gani leo? Mbona wamebaki kuhangaika tu? Mara BEN mara Lowassa. Hamjalipwa posho maana tunasikia jungu kuu linakauka. Poleni. Na bila kumtaja Lowassa hulipwi posho??????
 
mrudisheni Ben
 
Mtu huyu mwenye rekodi ya mwanamkakati wa Pm-7 alizaliwa 13/12/1983
Mkuu Tutashinda, kauli huumba, na lisemwalo lipo kama halipo, linakuja!.
Angalia heading ya bandiko lako hili, na tarehe ya bandiko hili, halafu angalia nini kilikuja kutokea kwa Ben Saanane.


Wana jf tuanze kujifunza kuchunga kauli zetu, kauli nyingine zinaumba, ukisema mwisho wa fulani, bila hata wewe kumaanisha ni mwisho kwa kutoweka, kwenye heading ulisema

"ben-saanane-mwisho-wake-umefika-rasmi",
Wewe bila kujua kuwa kauli hii ina powers, baada ya kutolewa bila kuwekewa any caveat ya mwisho wa nini, then powers zimeanza ku act kuutengeneza mwisho wa Ben.

Maadam kwenye bandiko hili, ulidhamiria mwisho wa Ben Saanane ni mwisho kwenye uchaguzi wa Bavicha, then the headline yako should have said so, " Ben Saanane Mwisho Wake Kugombea Bavicha Umefika Rasmi " ili zile powers za kauli yako iwe limited kwa Bavicha tuu, kitendo cha kutoa open ended statements bila kinga, ndicho kimepelekea kuchangia kufika mwisho kwa Ben Saanane.

Kwenye bandiko hili mimi pia nilichangia
From no where, jana nimetokea tuu kumkumbuka Ben Saanane, sikujua kwanini, hivyo nilipoamka nikaanza kupitia baadhi ya mabandiko humu ndipo nikakutana na bandiko hili la 2014, nilipolisoma ndipo nikagundua kumbe jana ndio tarehe ya kuzaliwa ya Ben Saanane.
Happy Birthday Ben Saanane.
P
 
Acheni unafiki mkuu mrudisheni kijana wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
RIP Ben!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…