Elections 2010 Harakati za Dr Slaa Na Chadema Katika Picha 2010

Hakikisha unaziangalia zote 25, utaona DR. Slaa akiapishwa kuwa Raisi wa awamu ya Tano Tanzania huru. Wengi wamefurahia ushindi huu.
octaber 31 2010 tupige kura .
 
Naona umetuwekea picha za Obama na Christmas Tree nyuma ya White House. Swali zinausikaje na harakati za CHADEMA na Dr. Slaa?
 
Naona umetuwekea picha za Obama na Christmas Tree nyuma ya White House. Swali zinausikaje na harakati za CHADEMA na Dr. Slaa?

Umemwona Dr Slaa lakini, kina Obama wanachoma Nyama wanasherehekea kumwona Dr anakaribia ikulu.
 
Je... wamejiandikisha kupiga kura?? isije ikawa ni mavuvuzela tu, mwisho wa siku hawapigi kura
 
Je... wamejiandikisha kupiga kura?? isije ikawa ni mavuvuzela tu, mwisho wa siku hawapigi kura
hayo ndo maneno yenu ccm tumeyazoea kwa hiyo waliojiandikisha ni akina nani kama si wananchi!??
 
Tunamwamini, Tunamhitaji. Dr Slaa, you are the hero of our country!! inabidi tuanzishe siku ya kupinga ufisadi nchini.
 
bado picha moja wakuu, picha itakayopigwa uwanja wa uhuru wakita dokta wa falsafa akiapishwa kuwa rais wa awamu ya 5. ntakuwa mitungi siku hiyo sipati picha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…