Harakati za kocha mpya simba sc

Harakati za kocha mpya simba sc

Hivi hawa wanaojinasibu tutachezea kichapo...kichapo gani kile cha kichawi??? Mburaaaa...yani kujitoa akili kumfunga Simba mpk leo mnaweweseka hamuamini macho yenu...kipigo kipigo...tena cha kumwaga mimaji ya maiti uwanjani...msyuuuuu hebu mtupishe...
Kama kuna timu haijawahi kuchezea kichapo ktk kwa mnyama ndo iandike humu....
Maajabu haya ya vibonde vya Ihefu..
Rafiki hata hivyo 5:1
Inauma sana, poleni jamani😂
 
Just been told:

Simba SC have officially opened talks with Tunisian gaffer Radhi Jaïdi (48) to take over as the club’s new head coach. [emoji599][emoji1249]

Jaïdi previously worked at Southampton, Hartford Athletic, Cercle Brugge and ES Tunis.

It’s over for Benchikha and Pablo Franco Martin but Sven Vandenbroeck is still considered as the last option.

Simba’s plan is to have a permanent head coach on the bench before facing ASEC Mimosas in the CAF Champions League.

#AfricanFootball
#NguvuMoja [emoji881]View attachment 2819808
Tatizo sio kocha tatizo viongozi ndumilakuwili. Hata aje Carlo Ancelotti na msaidizi wake akawa Pep Gurdiola kama bodi ya Simba haitaondoa MO na vibaraka wake ni kazi bure.
 
Sasa wewe nae unaleta habari za enzi ya Mwalimu saa hizi kweli?

Haya, ni wachezaji gani waliokuwa kwenye hicho kikosi ambao bado wanachezea hapo Simba leo hii? Ili tumwambie Gamondi awatazame kwa umakini.

Hii ni tofauti na sisi, kikosi cha moto na ari iko juu.
Mpeni onyo mapema asijepokea kipigo akafurushwa kama mwenzie.
Kapombe alikuwamo, Mkude una jingine
 
Makocha wanaoajiriwa simba wana moyo sana. Maana msimu mmoja tu ukimalizika, atatengenezewa zengwe mpaka afukuzwe.
 
Duuuh! kama kafundisha hadi Southampton,basi Simba watakua wamejitahidi wakimleta,lakini ajue Gamond yupo.... aje kwa tahadhari.
Hv ni mm kidogo ngeli imepita left au🤔🤔mbona kwa nlivoelewa ni kama alicheza Southampton sio alifundisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Simba had kuja kukaa sawa, bas Mie ntakua natembelea mkongojo.
Team hata muamko na ari ya kutafuta mafanikio hakuna, afu kutwa kujifananisha na Al ahly, wydad, Mamelodi.

Inaboaa kisengee yaan, aaaah
 
Nimeuliza wachezaji sio mchezaji, Mkude bado yupo Simba?

Huyo Kapombe si ndio alikuwa uchochoro wenyewe? Gamondi hana la kutazama kwake.
Umeuliza wachezaji waliokuwepo nimekutajia Kapombe na Mkude sababu wote wanacheza tofauti Mkude hayupo Simba. Hoja yenu ilikuwa zile goli tano mlizorwanga wachezaji wore hawapo kwa sababu ilikuwa zamani .
 
Umeuliza wachezaji waliokuwepo nimekutajia Kapombe na Mkude sababu wote wanacheza tofauti Mkude hayupo Simba. Hoja yenu ilikuwa zile goli tano mlizorwanga wachezaji wore hawapo kwa sababu ilikuwa zamani .
Tatizo umedandia mjadala huelewi hata naongelea nini, rudi kanisome vizuri uelewe kwanza.
 
Back
Top Bottom