Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaap hilo la msing yaan so be thea saa mbili asubuhi tuanze harakat mapema
Kumbe inawezekana.!!!. Nimewakubali sana wakuu.. Alhamis nitakua town hapo kuongeza nguvu. Mpaka kieleweke
pongezi za dhati ziwaendee wanaharakati wote waliojitolea leo kwenda wizara ya elimu na ufundi ili kutetea na kujua nini hatma ya elimu yao pamoja na mikopo
Pili niwashukuru waandishi wa habari waliojitokeza kuja kufuatilia kiundani juu ya suala hii especially CHANNEL TEN &TANZANIA DAIMA kwa kuweza kutusikiliza na pia kuzungumza na wahusika kuhusu suala hili na kwa taarifa zaidi usikose habari ya leo channel ten saa moja usiku na pia nakala yako kesho gazeti la tanzania daima..
Tatu niwashukuru wakurugenzi wa wizara ya elimu kitengo cha mikopo ambayo imehaidi kushughulikia suala hili na kuomba tuwape siku mbili alafu watatujibu kuhusu matatizo yetu na kutusii sana tusiandamane ila kauli ni moja tu wakitaka tusiandamane baas tupewe mkopo...
Uonevu sasa basiiii
Bodi naijua vizuri kwani sula hilo lilinikuta mwaka 2011 na hakuna aliyefanikiwa wachache sana fanya yote ila pangilia mbinu zako mbadala
kama kawa wanaharakat wenzangu,,nguvu ni 1 ko wacha 2cklizie hz cku 2 ka hapaelewek ijuma kama kawa sa 2 twalanzixha,,, kama alxhababuuuu...!!!!! tz hak haipatkan thro pecfu wadau, na hvo nmefunzwa baadh ya v2 kule jkt kwann ncaply kwaooo!!!! MUNGU 2bark wahtaj wako.
Kama kwenye fomu ya kuomba mkopo ulitumia lugha hii..hata mimi ningekuwa afisa mkopo sikupi! Utaenda kuchezea pesa za watanzania!kama kawa wanaharakat wenzangu,,nguvu ni 1 ko wacha 2cklizie hz cku 2 ka hapaelewek ijuma kama kawa sa 2 twalanzixha,,, kama alxhababuuuu...!!!!! tz hak haipatkan thro pecfu wadau, na hvo nmefunzwa baadh ya v2 kule jkt kwann ncaply kwaooo!!!! MUNGU 2bark wahtaj wako.
Hiyo degree programme iko tanzania kweli!Good work vijana maana hawa ndugu wamezid uonevu et mtu unachukua bacherol of science in education with biology na ni yatima afu unakosa mkopo,huu c uonevu huu!
Serikali imeanza kuvuna matunda ya JKT sasa. Vijana hawajaingia wanafuatilia hivi haki zao. Sipati picha wakiingia chuo wakakutana na mob psychology itakuaje. Siku vijana hawa waliopita JKT wakiandamana, serikali itajutia uamuzi iliouchukua.
daud omar mimi naunga mkono wazo lako 100%,sisi wengine tukio mikoa ya mbali lakini natoa rai kwa waliopo dar na hata morogoro kupitia humu jf naomba mkutane wizarani hiyo siku ya ijumaa kujua hatma yetu tafadhali.maelezo yao yasiporidhisha tutoke na azimio moja dhidi ya bodi na wizara ambalo litaitwa "not secured".
With regards.
mkuu ungejua kiapo walichokula hawa walioenda JKT.....yaani unaambiwa atakaye kutwa kwenye kosa linalohusu migomo/maandamano yasiyo rasmi ni kupigwa risasi hapo hapo