Harakati za kwenda wizara ya elimu zaweza kuzaa matunda juu ya hatma ya tuliokosa mkopo 2013/2014

Daud omar mimi naunga mkono wazo lako 100%,sisi wengine tukio mikoa ya mbali lakini natoa rai kwa waliopo dar na hata morogoro kupitia humu JF naomba mkutane wizarani hiyo siku ya ijumaa kujua hatma yetu tafadhali.Maelezo yao yasiporidhisha tutoke na azimio moja dhidi ya bodi na wizara ambalo litaitwa "NOT SECURED".
With regards.
 
Hatimaye wazalendo kutoka Jkt waanza kuonyesha uzalendo wao kwa kupigania haki ya msingi...this is just the beginng
 
Yaap hilo la msing yaan so be thea saa mbili asubuhi tuanze harakat mapema






Tukutane maeneo yapi tuanze safari ya pamoja? Tuelekezane wadau najiopanga nauli nitoke bush kuja town kupiga kambi
mpaka tupate jibu la THE INDEX.....SECURED LOA ACC 2013/2014
 
Tukutane maeneo yapi tuanze safari ya pamoja? Tuelekezane wadau najiopanga nauli nitoke bush kuja town kupiga kambi
mpaka tupate jibu la THE INDEX.....SECURED LOA ACC 2013/2014

Garden pale karibu na nbc posta ya zamani
 
kama kawa wanaharakat wenzangu,,nguvu ni 1 ko wacha 2cklizie hz cku 2 ka hapaelewek ijuma kama kawa sa 2 twalanzixha,,, kama alxhababuuuu...!!!!! tz hak haipatkan thro pecfu wadau, na hvo nmefunzwa baadh ya v2 kule jkt kwann ncaply kwaooo!!!! MUNGU 2bark wahtaj wako.
 

Bodi naijua vizuri kwani sula hilo lilinikuta mwaka 2011 na hakuna aliyefanikiwa wachache sana fanya yote ila pangilia mbinu zako mbadala
 

Unanipa wakati mgumu sana kukuelewa prof. tumbo . Hebu jirekebishe Mkuu huu uandishi hauendani na jina lako na level yako.
 
Last edited by a moderator:
Kama kwenye fomu ya kuomba mkopo ulitumia lugha hii..hata mimi ningekuwa afisa mkopo sikupi! Utaenda kuchezea pesa za watanzania!
 
Good work vijana maana hawa ndugu wamezid uonevu et mtu unachukua bacherol of science in education with biology na ni yatima afu unakosa mkopo,huu c uonevu huu!
Hiyo degree programme iko tanzania kweli!
 
Vijana jitahidini kwani naona elimu mnayopata siku hizi sijui itawafikisha wapi. Kiswahili kibovu na kiingereza ndio usiseme na walimu wanawapa alama za ufaulu!
Tafuteni haki zenu ila mkazane na masomo. Hivi hamjitambui? Au mnaandika humu lugha za mtaani aka vijiweni? Humu tunajua tunaelimishana kwa kupeana maarifa katika nyanja za kila aina.
 
Serikali imeanza kuvuna matunda ya JKT sasa. Vijana hawajaingia wanafuatilia hivi haki zao. Sipati picha wakiingia chuo wakakutana na mob psychology itakuaje. Siku vijana hawa waliopita JKT wakiandamana, serikali itajutia uamuzi iliouchukua.

mkuu ungejua kiapo walichokula hawa walioenda JKT.....yaani unaambiwa atakaye kutwa kwenye kosa linalohusu migomo/maandamano yasiyo rasmi ni kupigwa risasi hapo hapo
 

ccm not secured 2015
 
mkuu ungejua kiapo walichokula hawa walioenda JKT.....yaani unaambiwa atakaye kutwa kwenye kosa linalohusu migomo/maandamano yasiyo rasmi ni kupigwa risasi hapo hapo

Watu wa haki za binaadamu tuko wapi??humanitarians tupo wapi??hukumu ya kifo ipo??na sheria ya death penalty hutokana na nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…