Harakati za Mtu Mweusi

Harakati za Mtu Mweusi

Swali: Kwanini Sikuizi Vijana wengi. Tunashindwa Kufikia Malengo ya Msingi juu Yetu..!!?

Je.? Tatizo ni Nini …!!??🤔
Maamuzi unayo chukua na vipaumbele unavyoviweka kama ni vya hovyo kufikia malengo ni ngumu. Nyongeza ni kutegemea mafuta ya upako na miujiza kufikia malengo ni ngumu
 
Hata hao Wazee waliofanikiwa wakiwa vijana
ukiwarudisha ujana harafu uwalete hizi Zama hawatoboi Kaka.

Bush kilimo hakilipi Ardhi ya sasa bila mbolea hutoboi tofauti na zamani Rutba ya Ardhi ilitoisha.

Town biashara haziendi kila MTU kawa mfanya biashara kwahyo utamuuzia Nani bidhaa hizo wengi wanazo.

Bidhaa za Masazao ya asili mfano Asali pia vimekua adimu kutokana na Mabadiliko ya tabia za Nchi.

Kiufupi mambo yameharibika 🙌
 
Back
Top Bottom