Pre GE2025 Harakati za RC Juma Homera katika jimbo la Namtumbo, zinaharibu kazi nzuri inayofanywa na Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watu wameshapiga kelele sana hizo nafasi za ukuu wa mkoa na wilaya ziwe za kuchaguliwa na kura za wananchi.
 
Alikuwa mchapakazi alipokuwa na njaa Homera wa Tunduru si huyu wa Mbeya kabadilika hata sura, sura ni ya neema ni ya mwenye pesa mtu aliyeshiba, amejifunza uadilifu haulipi na mtu anakula kwa urefu wa kamba yake.
 
Aliyekutuma au umejituma Wacha porojo na wewe kagombee kama unataka sio kutuandikia gazeti lisilo na msingi.
 
Ukisema hakuna jambo lolote la Maana ni uongo ila sema labda mumemchoka maana huyo bwana Hilo Jimbo alipewa kama Zawadi tuu.
 
Kila mtu afanye yake. Mkuu wa Mkoa ahangaike na mkoa wake. Nshawasoma Chawa wa Homera, wapo kazini kujibu mashambulizi, kweli unaukimbizia Ubunge!!

Tamaa ya nini Homera, hutosheki?
Kwani kuwa RC kunazuia mtu asigombee Ubunge?

Wewe achia Ubunge utakuwa RC Ili ufanye Yako.

Homera kamatia hapo hapo
 
Huu ni uzushi baada ya kuona unakaliwa Kooni huko Namtumbo 😂😂
 
Wewe unagombea jimbo gani mkuu?
Mbona hujaweka namba ya simu?
 
Tungoje muda ukifika wajumbe ndio wataamua....sasa ni ya wote na kila mtu ana njia zake za kuchukua jimbo
 
Junguuuzzzz!
 
Mtatafunana na kulana mpaka kieleweke
 
Namtumbo ya wapi unaizungumzia mbona sijasikia ujio wa huyo jamaa,umesimuliwa au umeona mwenyewe?
 
Wananchi wa wilaya ya namtumbo wamekosa Amani ya kurudi kwao Kwa hofu ya kiongozi wao au mbunge wao kuwanyima Amani

1.kiongozi huyo anatunyima Amani watu wazawa wa wilaya hiyo amekuwa akitunyanyasa tunashindwa hata kufanya jambo la kifamilia kwahofu ya huyo mbunge kutuma watu wake na kuleta vurugu.


2.Juma zuberi homera ni mtu wawatu amekuwa na karma ya uongozi na kupedwa na watu kila sehemu tangu alipokuwa tunduru alipoondoka wananchi walimlilia akapelekwa katavi alipoondolewa katavi watu walihuzunika Kwa jinsi alivyoishinao kwawema akapelekwa mbeya napo anaongoza vyema kiufupi juma homera ni mtu wawatu.

3 kiongozi huyu kwao alikozaliwa ni wilaya ya namtumbo mwaka Jana alikwenda Kwa namtumbo na kuamua kufunga kituo Cha redio kinaitwa site fm 88.1 kwaajili ya biashara yake binafsi wananchi wa namtumbo walionyesha kufurahishwa sana na kitendo kile lakini mh mbunge wetu alichukia sana kitendo kile na kutengeneza makundi ya watu kubeza jambo Hilo vipi nimekosa mtu kufungua biashara yake nyumbani

4 juma kama kawaida yake kila mwaka mwezi mtukufu wa ramadhani huja nyumbani kutengeneza futuru ili kujumuika na wazazi ndg jamaa na marafiki kula pamoja mbunge huyo alituma vijana wake kuleta vurugu kwenye eneo lile vp nimekosa mtu kwenda kufuturisha nyumbani?

5 mbunge wetu huyo amekuwa akimfatilia juma homera kiasi kwamba hata akija likizo akiwa na gari yake kwenda nyumbani kusalimia akisikia au kumuona amekuwa akituma vijana kupeleleza mpaka nyumbani kwako jamani nimakosa mtu kurudi likizo nyumbani kufurahi na ndg jamaa na marafiki?

6 mh Juma homera amekwenda nyumbani amefanya sherehe ya send of kwaajili ya kumuaga bint yake kwenda kufunga pingu za maisha mbunge huyo alileta vijana wake kuja kuleta fujo pale ukumbini walipambana na walinzi wakakimbia vp nimakosa mtu kuozesha bint yake

Imekuwa hatuna Amani hata ya kwenda nyumbani kufanya kitu Cha kijamii Kwa hofu ya mbunge huyo
Musa chowo anafanya kazi tanesco alikwenda nyumbani kutengeneza ubani kwaajili ya kukumbuka ndg jamaa na marafiki mbunge huyo alituma vijana kuleta vurugu nimakosa mtu kutengeneza ubani Kwa ajili ya kumbukumbu ya ndg jamaa na marafiki?

Tunamuomba mbunge wetu wa wilaya ya namtumbo aache kutunyima Amani vijana wazee na wananchi wa namtumbo inafikia mahari mpaka mtu unashindwa kufanya shughuri yeyote ya kifamilia Kwa hofu yake akiona mkusanyiko wowote anawatuma hao vijana kuharibu

Tunachomuomba awe na Amani amedumu kipindi Cha awamu 3 miaka 15 hofu yake nini kwamiaka hiyo aliyodumu nadhani kama Kuna mazuri amewafanyia Wana namtumbo yataonekana na kuendelea kumchagua sio kutunyima Amani tusipike hata ubani tusifanye sherehe yeyote tunaletewa vurugu tunaomba Amani iwe namtumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…