Harakati za wanyama na wadudu

kangaroo ni swala waliochangamka😁
 
Ni picha ya kushangaza kama nini! Ni mara ya kwanza kuona tukio kama hilo. Ndege mdogo huanguka kutoka kwenye kiota chake., kisha kudakwa na mama yake, huku baba yake akitoa msaada kwa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…