FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401

- Forum
- Public Forums
- Mahusiano, mapenzi, urafiki
- Harambee: Kuiona Mechi ya Brazil na Taifa stars
Good morning good people
Thank you
Keep Well
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Hii chumba ni ya mapenzi na mapendo story zingine sijui zinatokea wapi....aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaagh
- Forum
- Public Forums
- Mahusiano, mapenzi, urafiki
- Harambee: Kuiona Mechi ya Brazil na Taifa stars
Good morning good people
Thank you
Keep Well
Kweli hii mada ni mseto ndio maana ina mambo mengi, maana imegusa kila sekta!Ha ha haaa Usihamanike FL1, hii topic ina mchanganyiko wa Mambo mengi sana, Mapenzi, Michezo, Siasa mpaka Uchumi ndio maana imevuta hisia za watu wengi na ndio maana ina hoja Mseto vile vile
Be Blessed
FL1 naomba urejee kwenye thread yangu ya kwanza,i mean post ya kwanza utaona nimeeleza sababu ya kuiweka hii thread kwenye MMU.Nilisema watu wa humu wana upendo na watanichangia bila kunidiskareji.Nasikitika kuna mamluki wametokea wapi sijui na kuchafua mada yangu.Hii chumba ni ya mapenzi na mapendo story zingine sijui zinatokea wapi....aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaagh
- Forum
- Public Forums
- Mahusiano, mapenzi, urafiki
- Harambee: Kuiona Mechi ya Brazil na Taifa stars
Good morning good people
Thank you
Keep Well
Pole Charity kwa yote yaliyotokea, binadamu hatufanani kimtazamo, achana nao!Naona watu mmenishupalia wakati mie nishamwachia Mungu.Kiranga,Gaijin
Mnaweza kuwa na point kwenye Msimamo wenu au hayo mawazo yenu lakini ninasikitika kuwaambia kwamba Thats the MOST POOR PRESENTATION EVER happen.Hamjui jinsi ya kuwasilisha mitizamo yenu ili ku-change maisha ya watu.Na kwa namna hiyo mtaendelea kubaki hivyo hivyo bila kueleweka.Lakini sio kosa lenu ni vile tu hamna kipawa cha ualimu hivyo siwalaumu sana.
Back to topic,ikiwa leo ndio tarehe ya kuuzwa ticket ,na ukizingatia kuwa za laki na nusu zimeisha.Basi mie natangaza kuwa nipo tayari kupokea tiketi ya elfu 30.Asanteni wote wenye upendo wa dhati mliokubali kunichangia bila manyanyaso wala kejeli.Mzidi kufanikiwa.
Una uhakika gani kuwa haya anayoyasema Huyo kiranga ndiyo ayatendayo? Keshakiri kuwa huwa anachanga arusi moja tshs milioni 6.Sasa anapinga nini na anafanya nini? upuuzi mtupu.Hebu niacheni nichangiwe pesa za kumuona Kaka.nimeipenda san hii TOPIC kwa sababu:
1.Charity ameonyesha jinsi ndani ya jamii yetu tulivyokuwa na matatizo ya kujitakia(ameonyesha tu, haina maana ni yeye).mtu yuko radhi apite kuchangisha hela ili akafanye anasa asizoweza kumudu,ndio maana mtu anataka achangiwe afanye harusi ya mamilioni lakini harusi ikiisha hajui atakula nini kesho.
2.Kiranga ameonesha how to deal with those kind of people...hakuna kuwaendekeza,lazima waambiwe ukweli kama Kiranga anavyokuwa wazi na kueleza msimamo wake juu ya kuchangia anasa ambazo mtu hawezi kuzimudu.
na nakuhakikishia hii mechi ya brazil kuna watu wataiba makazini,watazidisha rushwa,wakabaji watafanyakazi yao usiku na mchana,wengine ndio hao watachangisha ukoo mzima, ili mradi waende kuangalia brazil ingawa hawana uwezo.
SORE MAAM........................... Kwa namna yoyote nimekukosa nisamehe.Thats all I can say for now!charity.....Kiranga and GAIJIN?! Really!?
mie si ndio nilotetea mwanzo nikasema u were joking! and the topic is no more about u but about 'kuomba ni sawa au si sawa?'
but well................i guess Whatever
She was damn serious! What's your pledge?u werent kidding about the harambee ........were you!?
u werent kidding about the harambee ........were you!?
He!
Mchumba wasikunyanyase. Nshauza machungwa toka Ushoto, kibindoni nazo za kiingilio na za kutafunia pop corn weka mbali tunauli twa daladala. Jiandae Jumatatiu tukawaangalie Kaka, Lucio na Luis Fabiano live. Zikiisha usijali, nimeumbwa kwa ajili yako, ntafanya hata kibarua cha kufagia barabara kwa chelewa ili mradi tusilale njaa.
Sisi ni watu wa kupendana katika shida na raha, katika magonjwa na afya. Mapenzi na Uhusiano wetu usibabaishwe na Wanasiasa na Siasa zao. Kama kuna kamchango umeshakapata tafadhali usikaweke kibindoni manake chako ni chetu na changu ni chetu pia.
Tuko pamoja safarini kuiangalia mechi: wapende wasipende, waponde wasiponde, wachange wasichange.
Na Thread Inafungwa rasmi hapa. Samahani kama nimewakwaza na ma-hangover yangu.
She was damn serious! What's your pledge?
Hahahahahah! Si mchezo!my pleadge..........." i will be damned" :confused3:
Mmmmh! kweli wewe ni Kiranga kama jina lako sasa si Udiss nationalism yako kuna m2 kakukataza?Posts kama hizi zinanifanya niamini kwamba Watanzania wengine wamepata uongozi wanaodeserve.
Wewe mtu masikini, unataka kufanya anasa usizoweza. Watu masikini, lakini wanajitutumua kufanya harusi za kifahari.
HALAFU HAPO HAPO UNAOMBA WENGINE WAKUPE MSAADA ILI UFANYE ANASA!!!!!!!!!
BILA AIBU!
Six million US dollars for a one day extravaganza!
From a very poor country nevertheless. And my fellow Tanzanians are extra jubilant over this.
Tanzania, a poor African country with GDP Per Capita hovering around $ 500, half of the hospital beds taken by AIDS patients, with a good number of other patients either sleeping on the floor or sharing beds and therefore sharing communicable diseases, a good percent of primary school students sitting on dirt/ floor due to lack of desks in school, less than 29% percent with access to clean water (Ministry of Water figures, so you know the true figure is half of that, if that) I can go on and on to paint the picture of abject poverty afflicting my country, but I believe you get the picture.
The bottom line is that Tanzania is a very poor country, and bringing Brazil at this cost is irresponsible.
The $ 6m could have funded 90,000 new school desks or 90,000 hospital beds, clean water projects for a good number of villages in rural Tanzania.
Just to put this into perspective, at the official GDP Per Capita of $ 500 (which is buoyed by a few industrialist multimillionaires and thieves in the government) it will take 12,000 Tanzanians to work a full year to cover this cost.
To put this in perspective, if you take the GDP Per Capita (nominal) of the USA to be 50,000 for simplicitys sake (it is around 46,000) and use it in equivalent manhours used to import this irresponsible extravaganza, it will cost the USA around 600 million dollars to play one match. Now even with the relative affluence of the USA compared to Tanzania I doubt people would be enthusiastic to this type of a rip off.
I am Tanzanian, but when I look at our poverty, lack of priority and the gleeful nonchalance that my countrymen adopt, sometimes I am tempted to diss nationalism.