Harambee Starlets 11 - 0 Zanzibar CECAFA Ladies 2016

Sijaelewa mantiki ya kuninukuu na hayo maneno yako.

You mean unanisahihisha nimekosea?

Tafuta kamusi ya TUKI uboreshe kiswahili chako au google.

Bukta ni kiswahili sanifu

Gubigubi ni kiswahili sanifu meaning head to toe or cover completely.

Lile vazi mimi naliita baibui. Buibui ni mnyama fulani.
 
Teh teh teh musherehekee hii leo, mmeshinda 2-1. Congrats na tuimarishe mchezo yetu pendwa. Nadhani hii ni mwanzo wa ushindani mkali baina ya kili queens na harambee starlets.
Usichezee Taifa queens wewe....Kenya kala kichapo kwenye fainali-πŸ™‚
 
Dear Kenyans,
Actually when it comes to football,
We are your big brothers, and u must learn from us,
Hatujafanikiwa bado katika medani za kimataifa ila tunajitahidi sana wa Tz,
Nadhani mmeona hata taifa stars ilivyocheza na timu kubwa Africa kama Cameroon, ivory coast na recently Nigeria,
Na pia mmeona jinsi U17 inavyotishia Africa nzima sasa hivi baada ya kugawa vichapo hevi kwa SA, CONGO Brazzaville na wengine wengi.
Hapo bado sijazungumzia vilabu ambavyo Tz is among the best paying leagues in Africa..
Hakika tutafika tu,
 

Watakuletea FIFA rankings.
 

Dah! Jamaa kaandika kiswahili kibovu mno.
 
Dah! Jamaa kaandika kiswahili kibovu mno.
Akiandika kibovu ama kizuri what changes??? We are not in primary any more where you will be given a disk for speaking swahili or enga


We are not in high school where you will be graded for speaking better swahili english french german better than others


This is the outside world ....as long as you understand what he is saying it counts .....


Just watched a documentary on aljazeera about Mayotte comorian and south eastern Tanzanians drowning in the mozambican channel south eastern tanzanian swahili isnt swahili its bantu mixed with arabic passed as swahili


One guy said "chimutu" to reffer to people i nearly left!!!
 

Tatizo ni TFF wana maamuzi mabovu. Timu ya wakubwa inahitaji kocha wa maana na sio hawa wakina mkwasa. kwenye twitter tulimlilia sana malinzi amrudishe kocha wa vijana Marcos Tinoco akakubali but akamrudisha Kim Poulsen. Malinzi alifanya maamuzi mabovu ya kutokuendeleza mkataba na Jacob Michelsen ambaye kwa sasa timu take iko juu kwenye ligi kuu Denmark na walitolewa uropa na timu kubwa Spata prah.
 
What footbalk you mean this fifa football????

Tafadhali jielimishe hamko popote kwa sporti near kenya



LATEST FIFA RANKING 2016 SEPTEMBER

 
Hahaha, kama kawaida yao na wataenda mbali kuleta majina ya kina wanyama, ila ukweli ni kuwa zaidi ya riadha hamna kitu!

Nyang'au wanafukuza upepo kwa sababu ya njaa. Mpira hamna kitu, wao Sukuma wiki na kimbo.
 
What footbalk you mean this fifa football????

Tafadhali jielimishe hamko popote kwa sporti near kenya



LATEST FIFA RANKING 2016 SEPTEMBER View attachment 404094View attachment 404095View attachment 404096View attachment 404097

Wewe hujui nini unachokiongea, hizi rank zinashuka na kupanda pia Kocha yeyote duniani huwezi kwambia ni vigezo gani vyatumika kupanga hii rank. Mpira sio kwenye makaratasi or rank, mpira ni dakika tisini. Huoni hata aibu, eti mko juu, sasa iwaje jana mmepigwa mbili?
 
Hamna hata pics jameni!πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
ICC CRICKET WORLD CUP 2015

Apart from football world cup (which tanzania has never participated ) is there any other you have qualified?

 
Hatujaingia
Tennis
Swimming
Hockey
Safari rally
Sky diving
Ice hockey
Cycling -mwajua chris frome ni mzaliwa wa kenya
Chess


Hebu mpate lane yenu TZ


Mkombali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…