Harambee Starlets 11 - 0 Zanzibar CECAFA Ladies 2016

Harambee Starlets 11 - 0 Zanzibar CECAFA Ladies 2016

Sijaelewa mantiki ya kuninukuu na hayo maneno yako.

You mean unanisahihisha nimekosea?

Tafuta kamusi ya TUKI uboreshe kiswahili chako au google.

Bukta ni kiswahili sanifu

Gubigubi ni kiswahili sanifu meaning head to toe or cover completely.

Lile vazi mimi naliita baibui. Buibui ni mnyama fulani.
 
Teh teh teh musherehekee hii leo, mmeshinda 2-1. Congrats na tuimarishe mchezo yetu pendwa. Nadhani hii ni mwanzo wa ushindani mkali baina ya kili queens na harambee starlets.
Usichezee Taifa queens wewe....Kenya kala kichapo kwenye fainali-🙂
 
Dear Kenyans,
Actually when it comes to football,
We are your big brothers, and u must learn from us,
Hatujafanikiwa bado katika medani za kimataifa ila tunajitahidi sana wa Tz,
Nadhani mmeona hata taifa stars ilivyocheza na timu kubwa Africa kama Cameroon, ivory coast na recently Nigeria,
Na pia mmeona jinsi U17 inavyotishia Africa nzima sasa hivi baada ya kugawa vichapo hevi kwa SA, CONGO Brazzaville na wengine wengi.
Hapo bado sijazungumzia vilabu ambavyo Tz is among the best paying leagues in Africa..
Hakika tutafika tu,
 
Watakuletea FIFA rankings.
 
Kikosi cha taifa ya akina dada wa soka ya Kenya, almaarufu Harambee Starlets, wamefuzu kwa raundi ya nusu fainali katika mashindano ya CECAFA inayoandaaliwa Uganda mjini Jinja,leo hii. Hayo baada ya kuwabwaga wapinzani wao Zanzibar kwa mabao 11 kwa nunge katika uwanja wa Njeru, Jinja.

Akina dada hao, ambao wanajiandaa kushiriki kwa mashindano ya bara zima nchini Cameroon mwezi wa 11 kwa mara ya kwanza ,waliwazima matumaini wapinzani wao walipochukua uongozi wa mabao 3 kufikia dakika 45, na kuwa poteza kabisa baadaye na mabao 8. Hatua hii baada ya kushinda mechi za awali dhidi ya Uganda na Burundi 4-0 kila mmoja. Kenya watachuana na Uganda tena katika nusu fainali hiyo baada ya Uganda kufanikiwa 1-0 dhidi ya Burundi. Mchuano mwingine ya nusu fainali utakuwa baina ya Tanzania na Ethiopia.

Kufikia sasa Kenya wamefunga mabao 19 bila majibu.
======================================================================
CECAFA WOMEN – Harambee Starlets run riot, hit 11 past hapless Zanzibar

By Bonface Osano on September 15, 2016

2016 CECAFA Women’s Championship firm favorites the Harambee Starlets of Kenya produced another virtuoso performance against Zanzibar hammering the hapless islanders 11-0 to guard a 100% record in the tournament.
The Kenyan queens who are yet to concede a goal in the tournament that commenced on Sunday 11 in Jinja, Kampala, have thus far hit 19 past their three opponents, to finish top of group “A” with three wins out of three.
Zanzibar on the other hand have been the whipping girls of the second edition of the regional competition which they lifted in1986 and have to this end soaked in 26 goals.
The hugely changed Starlets outfit that had eight new faces in it hit the ground running at the FUFA Technical Center, Njeru with Christine Nafula commencing the annihilation in the 12th minute.
Nafula gabbed a brace at the half hour mark with a beauty of a goal before Jacky Ogol made it 3-0 on the dot for a comfortable 3-0 at half time with all pointers indicating a whitewash.
Three minutes into the second stanza Mercy Achieng hit the fourth. Coach David Ouma then introduced the deadly trio of Nedy Atieno, Mary Kinuthia and Esse Akidi for Doreen Nabwire, Elizabeth Ambogo and Mercy Achieng with devastating effects for an already beaten Zanzibar.
Nafula got her hat-trick in the 69th minute and Ogol a brace a minute later for a 6-0 handball score line, but they were not letting up just yet, no.
Fresh blood Esse netted her fourth of the competition two minutes after Ogol’s and Corazone Aquino made it 8-0 with her first of the afternoon in the 79th minute before hitting a brace in the 89th minute to make it 10-0 in favor of Starlets.
Esse who is now joint top scorer of the tournament with five goals same as Aquino scored the 9th goal in the 82nd minute.
Aquino altered the score line further with the second hat-trick of the match a minute into the added time to end the fixture 11-0.
Kenya joins Tanzania and Ethiopia into the round of four; the other semifinalist will be decided between hosts Uganda and Burundi.
@bonfaceosano
CECAFA WOMEN - Harambee Starlets run riot, hit 11 past hapless Zanzibar

Dah! Jamaa kaandika kiswahili kibovu mno.
 
Dah! Jamaa kaandika kiswahili kibovu mno.
Akiandika kibovu ama kizuri what changes??? We are not in primary any more where you will be given a disk for speaking swahili or enga

We are not in high school where you will be graded for speaking better swahili english french german better than others

This is the outside world ....as long as you understand what he is saying it counts .....

Just watched a documentary on aljazeera about Mayotte comorian and south eastern Tanzanians drowning in the mozambican channel south eastern tanzanian swahili isnt swahili its bantu mixed with arabic passed as swahili

One guy said "chimutu" to reffer to people i nearly left!!!
 
Dear Kenyans,
Actually when it comes to football,
We are your big brothers, and u must learn from us,
Hatujafanikiwa bado katika medani za kimataifa ila tunajitahidi sana wa Tz,
Nadhani mmeona hata taifa stars ilivyocheza na timu kubwa Africa kama Cameroon, ivory coast na recently Nigeria,
Na pia mmeona jinsi U17 inavyotishia Africa nzima sasa hivi baada ya kugawa vichapo hevi kwa SA, CONGO Brazzaville na wengine wengi.
Hapo bado sijazungumzia vilabu ambavyo Tz is among the best paying leagues in Africa..
Hakika tutafika tu,

Tatizo ni TFF wana maamuzi mabovu. Timu ya wakubwa inahitaji kocha wa maana na sio hawa wakina mkwasa. kwenye twitter tulimlilia sana malinzi amrudishe kocha wa vijana Marcos Tinoco akakubali but akamrudisha Kim Poulsen. Malinzi alifanya maamuzi mabovu ya kutokuendeleza mkataba na Jacob Michelsen ambaye kwa sasa timu take iko juu kwenye ligi kuu Denmark na walitolewa uropa na timu kubwa Spata prah.
 
Dear Kenyans,
Actually when it comes to football,
We are your big brothers, and u must learn from us,
Hatujafanikiwa bado katika medani za kimataifa ila tunajitahidi sana wa Tz,
Nadhani mmeona hata taifa stars ilivyocheza na timu kubwa Africa kama Cameroon, ivory coast na recently Nigeria,
Na pia mmeona jinsi U17 inavyotishia Africa nzima sasa hivi baada ya kugawa vichapo hevi kwa SA, CONGO Brazzaville na wengine wengi.
Hapo bado sijazungumzia vilabu ambavyo Tz is among the best paying leagues in Africa..
Hakika tutafika tu,
What footbalk you mean this fifa football????

Tafadhali jielimishe hamko popote kwa sporti near kenya

LATEST FIFA RANKING 2016 SEPTEMBER
1474441112333.png
1474441124424.png
1474441128826.png
1474441132885.png

Hahaha, kama kawaida yao na wataenda mbali kuleta majina ya kina wanyama, ila ukweli ni kuwa zaidi ya riadha hamna kitu!

Nyang'au wanafukuza upepo kwa sababu ya njaa. Mpira hamna kitu, wao Sukuma wiki na kimbo.
 
What footbalk you mean this fifa football????

Tafadhali jielimishe hamko popote kwa sporti near kenya

LATEST FIFA RANKING 2016 SEPTEMBER View attachment 404094View attachment 404095View attachment 404096View attachment 404097

Wewe hujui nini unachokiongea, hizi rank zinashuka na kupanda pia Kocha yeyote duniani huwezi kwambia ni vigezo gani vyatumika kupanga hii rank. Mpira sio kwenye makaratasi or rank, mpira ni dakika tisini. Huoni hata aibu, eti mko juu, sasa iwaje jana mmepigwa mbili?
 
Hamna hata pics jameni!😀😀😀😀
 
ICC CRICKET WORLD CUP 2015

Apart from football world cup (which tanzania has never participated ) is there any other you have qualified?

1474442347387.png
1474442351402.png
1474442354904.png
 
Hatujaingia
Tennis
Swimming
Hockey
Safari rally
Sky diving
Ice hockey
Cycling -mwajua chris frome ni mzaliwa wa kenya
Chess

Hebu mpate lane yenu TZ

Mkombali sana
 
Back
Top Bottom