Harambee Starlets 11 - 0 Zanzibar CECAFA Ladies 2016

Harambee Starlets 11 - 0 Zanzibar CECAFA Ladies 2016

Quickly

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
1,056
Reaction score
649
Kikosi cha taifa ya akina dada wa soka ya Kenya, almaarufu Harambee Starlets, wamefuzu kwa raundi ya nusu fainali katika mashindano ya CECAFA inayoandaaliwa Uganda mjini Jinja,leo hii. Hayo baada ya kuwabwaga wapinzani wao Zanzibar kwa mabao 11 kwa nunge katika uwanja wa Njeru, Jinja.

Akina dada hao, ambao wanajiandaa kushiriki kwa mashindano ya bara zima nchini Cameroon mwezi wa 11 kwa mara ya kwanza ,waliwazima matumaini wapinzani wao walipochukua uongozi wa mabao 3 kufikia dakika 45, na kuwa poteza kabisa baadaye na mabao 8. Hatua hii baada ya kushinda mechi za awali dhidi ya Uganda na Burundi 4-0 kila mmoja. Kenya watachuana na Uganda tena katika nusu fainali hiyo baada ya Uganda kufanikiwa 1-0 dhidi ya Burundi. Mchuano mwingine ya nusu fainali utakuwa baina ya Tanzania na Ethiopia.

Kufikia sasa Kenya wamefunga mabao 19 bila majibu.
======================================================================
CECAFA WOMEN – Harambee Starlets run riot, hit 11 past hapless Zanzibar

By Bonface Osano on September 15, 2016

2016 CECAFA Women’s Championship firm favorites the Harambee Starlets of Kenya produced another virtuoso performance against Zanzibar hammering the hapless islanders 11-0 to guard a 100% record in the tournament.
The Kenyan queens who are yet to concede a goal in the tournament that commenced on Sunday 11 in Jinja, Kampala, have thus far hit 19 past their three opponents, to finish top of group “A” with three wins out of three.
Zanzibar on the other hand have been the whipping girls of the second edition of the regional competition which they lifted in1986 and have to this end soaked in 26 goals.
The hugely changed Starlets outfit that had eight new faces in it hit the ground running at the FUFA Technical Center, Njeru with Christine Nafula commencing the annihilation in the 12th minute.
Nafula gabbed a brace at the half hour mark with a beauty of a goal before Jacky Ogol made it 3-0 on the dot for a comfortable 3-0 at half time with all pointers indicating a whitewash.
Three minutes into the second stanza Mercy Achieng hit the fourth. Coach David Ouma then introduced the deadly trio of Nedy Atieno, Mary Kinuthia and Esse Akidi for Doreen Nabwire, Elizabeth Ambogo and Mercy Achieng with devastating effects for an already beaten Zanzibar.
Nafula got her hat-trick in the 69th minute and Ogol a brace a minute later for a 6-0 handball score line, but they were not letting up just yet, no.
Fresh blood Esse netted her fourth of the competition two minutes after Ogol’s and Corazone Aquino made it 8-0 with her first of the afternoon in the 79th minute before hitting a brace in the 89th minute to make it 10-0 in favor of Starlets.
Esse who is now joint top scorer of the tournament with five goals same as Aquino scored the 9th goal in the 82nd minute.
Aquino altered the score line further with the second hat-trick of the match a minute into the added time to end the fixture 11-0.
Kenya joins Tanzania and Ethiopia into the round of four; the other semifinalist will be decided between hosts Uganda and Burundi.
@bonfaceosano
CECAFA WOMEN - Harambee Starlets run riot, hit 11 past hapless Zanzibar
 
Mpira ni dakika 90 lolote linaweza kutokea kufungwa, kushinda au suluhu.siku zote ukijiandaa vizuri unastahili ushindi, Hongera harambee starlets juhudi zenu ndo zimewakisha hapo katika soka muongeze juhudi zaidi mpk fainali.timu ya zanzibar isivunjike nguvu nayo pia iongeze juhudi katika mazoezi na mazingira ya michezo ilikuweza kujiandaa katika mashindano yajayo.
 
Hao mabinti wa Zanzibar wamezoea kushinda wamejifunika gubigubi huko kuvaa bukta mbele za watu kunawatoa mchezoni tayari.

Bora wasiwe wanashiriki soka kabisa labda wawe wanavaa mabaibui uwanjani.
 
Hao mabinti wa Zanzibar wamezoea kushinda wamejifunika gubigubi huko kuvaa bukta mbele za watu kunawatoa mchezoni tayari.

Bora wasiwe wanashiriki soka kabisa labda wawe wanavaa mabuibui uwanjani.
buibui, bukra
 
Mpira ni dakika 90 lolote linaweza kutokea kufungwa, kushinda au suluhu.siku zote ukijiandaa vizuri unastahili ushindi, Hongera harambee starlets juhudi zenu ndo zimewakisha hapo katika soka muongeze juhudi zaidi mpk fainali.timu ya zanzibar isivunjike nguvu nayo pia iongeze juhudi katika mazoezi na mazingira ya michezo ilikuweza kujiandaa katika mashindano yajayo.
Swadakta mkuu. Tunaomba hao mabinti nao waboreshe mchezo ili mshindi awe ametoa jasho kweli na amekubalika mshindi bila tashwishi.
 
buibui, bukra

Sijaelewa mantiki ya kuninukuu na hayo maneno yako.

You mean unanisahihisha nimekosea?

Tafuta kamusi ya TUKI uboreshe kiswahili chako au google.

Bukta ni kiswahili sanifu

Gubigubi ni kiswahili sanifu meaning head to toe or cover completely.
 
Hehehe!! Zanzibar yangu jameni, watoto wa Kizanzibari hawafai kupigwa kichapo kama hiki bila huruma, huwa wazuri sana. Vipi Wakenya mna hasira na nani au mlikula nini, jameni mabao yakitimia tano uantuliza hasira na kukumbuka unacheza na Mwafrika mwenzio...... teh teh ..
Hebu subiri kesho niwatanie washkaji akina Amour na Fatma pale Unguja, kazi yao kula Urojo hamna lingine.
 
hii inahuzunisha, kama tunafunga watu 4-0, 11-0, inamaanisha hakuna uwekezaji kwa mpira... kwahivyo hatujipimi vizuri, siku tukienda nje ya africa tunapatana na mababe wanaoshinda world cup, akna france,germany, usa... tunapachikwa 3-0 tunabaki kushangaa imekuaje.... hivyo ndo hua tunafanya kwa volleyball. Africa tunashinda kila mechi alafu tukienda world grand prix , tunapatana na akina USA,peru,china,france....hatuonani kitu
 
kweli kabisa, ukweli usemwe. Naogopa matokeo ya AFCON kwa upande wetu hasa ukizingatia jinsi FFK wanavyojiandaa na kujipanga. Afu nchi kama Nigeria, Ghana wana vikosi sharp sharp zenye uzoefu wa kushindania world cup, ilhali wetu wanashughulika na bus fare kwenda training..
 
Hawa zenji si walifungwa na Burundi 10-1, halafu wakafungwa na Uganda 9-0! Kenya nao wamewafunga 11-0
Duuh...wanatia huruma!
Yaani wameweka rekodi moja ambayo si nzuri sana ikizingatiwa wao ndio mabingwa wa kwanza kabisa katika mashindano haya yalipofanyika kwa mara ya kwanza visiwani Zanzibar mwaka 1986,
Japo baada ya hapo haya mashindano hayakufanyika tena hadi mwaka huu lakini hii si picha nzuri!!
Hayo mabao ni mengi mno tena kwa mechi tatu mfululizo...
 
Hehehe!! Zanzibar yangu jameni, watoto wa Kizanzibari hawafai kupigwa kichapo kama hiki bila huruma, huwa wazuri sana. Vipi Wakenya mna hasira na nani au mlikula nini, jameni mabao yakitimia tano uantuliza hasira na kukumbuka unacheza na Mwafrika mwenzio...... teh teh ..
Hebu subiri kesho niwatanie washkaji akina Amour na Fatma pale Unguja, kazi yao kula Urojo hamna lingine.

Kumbe tukiingia pahala tanzania imepigwa kichapo wanakubali sasa ni nchi ya zanzibar na sio muungano wa tanzania tena!!!!
 
Hatimaye wamefika fainali na timu zinazo shiriki ni kama ilivyo tarajiwa. Naona hawa akina dada watawafanyishia Tanzania kubwa sawa na walivoifanyia Tanzania dogo. Ila naomba wasiwafanyie warembo wenzao masihara kama lile ya juzi, wajaribu kuwapa kichapo ya heshima kama 2-0 hivi.
 
Mkuu Tunaomba matokeo ya fainali basi...
 
Hatimaye wamefika fainali na timu zinazo shiriki ni kama ilivyo tarajiwa. Naona hawa akina dada watawafanyishia Tanzania kubwa sawa na walivoifanyia Tanzania dogo. Ila naomba wasiwafanyie warembo wenzao masihara kama lile ya juzi, wajaribu kuwapa kichapo ya heshima kama 2-0 hivi.
Teh teh teh musherehekee hii leo, mmeshinda 2-1. Congrats na tuimarishe mchezo yetu pendwa. Nadhani hii ni mwanzo wa ushindani mkali baina ya kili queens na harambee starlets.
 
Back
Top Bottom