Harambee Starlets washinda 2-0 dhidi ya N.Ireland kwenye mchuano wa Turkish Women's Cup

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Walishinda mechi zao zote bila kufungwa bao hata moja kwenye CECAFA Women's Cup. Baada ya kuwagaragaza na kuwabingirisha bingirisha kama vikaragosi wenyeji wao Kilimanjaro Queens. Kabla ya hiyo walifika fainali za kufuzu kushiriki kwenye 2020 Tokyo Olympics. Leo Harambee Starlets wameendeleza utamaduni wao wa kushinda, nje ya bara hili, kule Golden City Sports Complex, Uturuki kwenye Turkish Women's Cup. Wameng'aa kweli kweli kwenye mechi yao ya kwanza, baada ya kuilaza N.Ireland 2-0. Hongera kwa kina dada zetu, na wazidi kuiwakilisha Afrika Mashariki Kenyan style bila kusita sita. Make us proud ladies and make them go green with envy. [emoji1139][emoji1139][emoji1139]
 
Ufanisi ulioje?, licha ya kwamba baadhi ya vigogo walioshiriki kwa CECAFA hawakuwepo baada ya kunyakuliwa na nchi za ugaibuni, bado malimbukeni walijizatiti mno!.. Nilidhani watatoka huko bila ya kushinda game moja.
 
Ufanisi ulioje, vigogo walioshiriki kwa CECAFA hawakuwepo baada ya kunyakuliwa na nchi za ugaibuni, bado malimbukeni walijizatiti mno!..Nilidhani watatoka huko bila kushinda game moja.
Kina dada wa Kenya wamejijengea sana sifa kwa ueledi wao kwenye soka. Hivi majuzi striker Akida ametia saini contract ya miaka miwili na klabu bingwa ya Uturuki, Besiktas. Walimnyakua kutoka kwa klabu ya Ramat Hasharon kule Israel.Harambee Starlets striker Esse Akida joins Turkish top-flight side Besiktas on a two-year deal : The Standard Wakenya wengine wawili, Ingotsi na Annette, nao wapo Lakatamia FC ya Cyprus. Kuna dada mwingine mkenya Corazon kule Atletico Quriense(Ureno). Ingekuwa ni kwa majirani humu hakungekalika. Alafu account zao na za vilabu vyao kwenye mitandao zingevamiwa na washamba hadi walie. [emoji1]
 
Tupo bahari nyingine world cup πŸ˜πŸ˜πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Kama Kawa mtatwangwa tu vile tumekuwa tukiwatandika everywhere. Uliona vile tulichapa Kilimanjaro boobies 2-0 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…