Harambee Stars Kambini Ufaransa

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kuelekea michuano ya Afcon 2019 mwezi ujao jirani zetu timu ya taifa ya kenya Leo asubuhi wameondoka Kenyatta int airport kwenda ufaransa watakapoweka kambi ya Wiki tatu kujiandaa na michuano hiyo
Timu hiyo inatarajia kufungua dimba kwa kucheza dhidi ya Algeria akina Mahrez kabla ya baadae kucheza na Senegal pamoja na jirani zao Tanzania.
 
White Sands hotel ... Dar es Salaam. Halafu moja kwa moja Egypt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…