Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
hauniangushi aki;2---1
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tuthamini vya kwetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi kauli mbiu huwa zinafariji japo zinauma
Tena Leo kabda hatujatoka job, tukaambiwa tuiombee stars[emoji23][emoji23].Hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha hahaha
Wewe umenishinda tabia!!
Acha unafiki uende mbinguni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anacheza Hispania uyoFarid mussa huyu jamaa acheze ligi kuu nchi za wenzetu sijui anakwama wapi?
Akaze hapa ndio kwa kutokea vizuri.
Kwa kweli.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Mimi ni mzalendo no matter what
Anacheza Hispania uyo
Bora umekuwa mkweli[emoji23][emoji23][emoji23].Tuthamini vya kwetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi kauli mbiu huwa zinafariji japo zinauma
Aiseee, Bora tu if you know what I mean[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli mtu ukishangilia ccm na kumbukumbu zinahama. Nije whatsup au nikufungulie pm[emoji23]
Inaonekana ofisini kwenu ni wazalendo sanaTena Leo kabda hatujatoka job, tukaambiwa tuiombee stars[emoji23][emoji23].
Yaani ccm bhana[emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisaaaaaa.Ndiyo yule mganga anayeibaga kura[emoji23][emoji23]
Hahaha hahaha hahaha hahahaBora umekuwa mkweli[emoji23][emoji23][emoji23].
Ninaumia sana Bradha .Dada la dada, mkeka wako unachanika.
Hahahaahaha! Vijana wa mtaa ule pale karibu na mnazi???Atapokelewa airport siku ya kurudi kwa kubebwa juu huu.
Yes ameshaandaa watu wa kumbeba
Ahahhahaaahahahah.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usiamini kila usikialo. I bet waliokwambia ni makamanda