Harambee Stars vs Taifa Stars official thread

Engineer Michael Olunga. Tanzania fanyeni mziki michezo hamuiwezi
 
Hebu lala basi kesho ukaonyeshe uzalendo
Nilivyo mnafkiii, nalaza status whatsup kabisa.
Kwamba " Hongera sana Taifa stars , mmedhubutu. Kwa hatua hiyo nyie ni washindi.... Hongera RC wangu Makonda wewe ni jembee tupo pamoja" hapo na namba ya boss naisave ili aone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haki ya nani😫😫😫😫😫
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…