Harambee Stars vs Taifa Stars official thread

[emoji31][emoji31][emoji31] mpaka nimekosa usingizi mkuu. Yaani nimeumia sana. Bora hata ingekuwa kati tu.
Makosa ya hv yanamgharimu mno.....au usikute alikuwa kwenye munkari zake na yeye....dah imeniuma sana hii gemu halafu anatokea mtu huko ananiambia mm ccm cjui bashite yaani dadeq mama-e zao...

Mti wenye matunda.
 
[emoji31][emoji31][emoji31] mpaka nimekosa usingizi mkuu. Yaani nimeumia sana. Bora hata ingekuwa kati tu.
Mti wenye matunda.
Dah...that's it...inavyoonekana hatutavuna pointi yoyote...ni aibu japo naona wengine wanachekelea but mwisho wa siku aibu inatuangukia watanzania wote...no way out...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chizi wewe
 
Kitambo sana sijafanya hizi mambo;

Enzi zangu chuo unakuta nishstia boom lote 450k apo. Full presha na kupanda.

Hongera kwa hela ya supu mkuu
Inataka moyo sana maana first half nikajua Bashi Boy kaniprove wrong nikaingia kulala,kumbe gundu zake zilikuwa bado zipo hewani maana naangalia asubuhi nakuta mashemeji wamepindua matokeo. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Laana ya Kuunganisha timu na chama chakavu ccm haiwezi kuwaacha salama pumbafu nyie
We fala jifunze kufikiri...umeona mhusika wa unayoengea ni Mimi...mm nashabikia stars.... Hizo stress zako za politics na vyama vyenu peleka huko unapojua ww..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…