Harambee Stars vs Taifa Stars official thread

Nilipitwaje na huu Uzi. Asanteni Kenya kwa kumwangusha bashite. Ajifunze kutokuhusisha mali ya wananchi na ulimbukeni wake wa kisiasa.
Kenya 3 -Makondakta2.

4G LTE naona umepita kimya kimya. Nakusalimia.
 
Inataka moyo sana maana first half nikajua Bashi Boy kaniprove wrong nikaingia kulala,kumbe gundu zake zilikuwa bado zipo hewani maana naangalia asubuhi nakuta mashemeji wamepindua matokeo. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nilipitwaje na huu Uzi. Asanteni Kenya kwa kumwangusha bashite. Ajifunze kutokuhusisha mali ya wananchi na ulimbukeni wake wa kisiasa.
Kenya 3 -Makondakta2.

4G LTE naona umepita kimya kimya. Nakusalimia.
😂😂😂😂
Asante kwa salam na salam zikufikie pia.
Mpambano wa wenyewe huu, sina mbavu za kutiana adabu aisee..
 
Leo Kila upande Unaona mechi ya Fainali
Nibora ufungwe Nusu Fainali kuliko mechi ya leo
Maana Imekuwa shida kabisa
Tambo zimepitiliza aisee!!
Kejeli, porojo Na utani wa kila aina

I like this comedy HAHAHAHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…