Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Nimeliona goli...Tunaongoza
Nipo kuwabembeleza wakenya watufunge[emoji17][emoji17][emoji17]
Handsome tulia hakuna tatizo kabisaaaKigori huyo anakuita ita wakati nipo na ww apa kwenye kochi me naona wivu ujue.
Japo daud Albert atatamba but let us support our own mama akeNimeliona goli...
Wenzetu washapanick
Atasema ye ndo kapanga kikosi hichoKama vile namwona anavyovimba kichwa.
Nimemkumbatia hapa hatoki
Daah, usingizi wangu ushaharibika.Hapo bichwa hilo sifa zote atammwagia Jiwe.
hahahaha Inna kisura sitaki aminiNimemkumbatia hapa hatoki
Eeh na maombi yake atasema yamefanya kazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atasema ye ndo kapanga kikosi hicho
Tuko pamoja babakeJapo daud Albert atatamba but let us support our own mama ake
Daah, usingizi wangu ushaharibika.
Ila bado Nina imani chezea Kenya wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mh leo utalala na hali mbaya kama ni hivyoDaah, usingizi wangu ushaharibika.
Ila bado Nina imani chezea Kenya wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umekushinda uzalendo???Kenyan please, Do the needful.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kesho atawazodoa kina ndugai na wenzake na sie wote kazi tunayoKama vile namwona anavyovimba kichwa.
Waache wapanic ivo ivo ndo dawa ya kuwapiga nyingiNimeliona goli...
Wenzetu washapanick