Harambee Stars vs Taifa Stars official thread

Computers zetu, barabara zetu, mataa yetu ya barabarani, kila kitu chetu usitumie na fanya uhamie Nairobi.
Wewe hauwezi kunifanyia mimi hivyo.
Haki yangu kama mtanzania ninyang'anywe sawa ila nitajabanana na wewe tutumie haki yako pamoja.
That's how it meant to be.
 
Ila hawa jamaa wananipa mashaka wanamiliki mpira 59% wakati sisi ni 41%
 
Wewe hauwezi kunifanyia mimi hivyo.
Haki yangu kama mtanzania ninyang'anywe sawa ila nitajabanana na wewe tutumie haki yako pamoja.
That's how it meant to be.
🤣🤣🤣🤣🤣

Haya, amri moja sasa! Utatengua kauli na kuwaombea timu ya chama ishinde. Wewe huoni mpaka tumetumia kodi za watanzania kumpeleka muheshimiwa sana akawape wachezaji hamasa
 
Tukiwafunga wakenya ni bahati yetu. Tunacheza mpira mbovu,timu haiwezi piga pasi hata nne kuelekea kwa adui,hovyo kabisa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Haya, amri moja sasa! Utatengua kauli na kuwaombea timu ya chama ishinde. Wewe huoni mpaka tumetumia kodi za watanzania kumpeleka muheshimiwa sana akawape wachezaji hamasa
This is cruel and unfair.. Especially when it comes from you.[emoji17][emoji17][emoji17]

Nataka wafungwe ili akirudi aeleze kwanini ametumia kodi zetu kwenda kuuza sura.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Viungo wetu wangejaribu kunyanyua macho ule upande wa Faridi tungekua na bao la pili saiz.
Ule upande uko wazi kabisa, sijui kwa nini wechezaji wetu wanashindwa kuangalia mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…