Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,055
- 8,540
Duwa zako zimesikilizwaBasi fanya uwezavyo timu ya bashite isishinde.
WamerudishaaaTz wanaongoza moja dk 37
Ndo nipo hapa naangalia uwezekano wa kuongeza nguvu ya maombi nataka nianze kufungaBasi fanya uwezavyo timu ya bashite isishinde.
Ndo hivyo tenaDuwa zako zimesikilizwa
Huyo tuu. Mechi ya kwanza nilisaport stars vizuri sana. Ila sasa huyu anasema taifa stars ni UVCCM [emoji23][emoji23][emoji23]haikubaliki.Hahahaahahahahah!
Ugomvi wenu ni huyo muheshimiwa sana tu???
Matokeo vipi nduguKacheze wewe
hahahaHebu uilipie kwanza babake
Baaaasi baby girl.This is cruel and unfair.. Especially when it comes from you.[emoji17][emoji17][emoji17]
Nataka wafungwe ili akirudi aeleze kwanini ametumia kodi zetu kwenda kuuza sura.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Back wapi???We are back!
2-1 tz mbelehahaha
Mambo yameharibika mama ake
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahahahahaha
Mambo yameharibika mama ake