rama bendu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 310
- 220
Mfano cheti cha makonda kina tija gani kwako kijanaBashite toa vyeti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano cheti cha makonda kina tija gani kwako kijanaBashite toa vyeti.
Tusinunue bidhaa na kutumia service ya ile kampuni inayo sponsor ufisadi, rushwa, inayojihusisha na biashara haramu, inayokwepa kodi formerly Home Shopping Centre. Wanatuharibia nchi yetuHabari zenu wanajamvi ?
Kwa niaba yenu wapenzi wa hii forum yetu pendwa ya celebrities ,leo nimeamua kuja na wazo la kutowaunga mkono wasanii wote wanaomuunga mkono magufuli na bashite wake.
Tusiwaunge mkono kuanzia kununua kazi zao ,kutohudhuria show zao, kuto request nyimbo zao redioni au kwenye television kuto wapongeza kwa chochote kile ikiwemo simulation zao za kuzaliwa ,kutowasaidia pindi watakapopatwa matatizo yoyote mpaka pale watakapoacha kuwashabikia magufuli na bashite wake.
Mpaka sasa ni ukweli usiopingika kwamba 75% ya watanzania tupo against na anachokifanya magufuli kwa sababu ameinajisi kwa kiasi kikubwa katiba yetu na kudhulumu haki zetu za msingi huku akishirikiana na bashite
Hivyo basi msanii yeyote kwa atakayeonekana yupo na hawa mabwana tumtenge totally ili kazi zake atakazozitoa zimdodee mpaka pale atakapojirekebisha na kuja kujiunga na watz wote kwa pamoja ili tupinge huu udikteta unaofanywa na hawa mabwana wanaojivisha uungu utu.
Haki bin haki! [HASHTAG]#utawalawasheria[/HASHTAG] [HASHTAG]#hamnamtujuuyasheria[/HASHTAG] [HASHTAG]#zoeziLaUhakikiWaVyetiLikoNchiNzima[/HASHTAG] [HASHTAG]#alilianzishaMagufuli[/HASHTAG]Mfano cheti cha makonda kina tija gani kwako kijana
Uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma una faida gani kwa watanzania?Mfano cheti cha makonda kina tija gani kwako kijana
Mfalme mtakatifu mungu mtu asiyejaribiwa farujoniNitajie basi so siasa chuki zenu mnaona zinafaa si ndiyo.
Mimi ni mtz ila nakasirishwa navyoona wananchi tunavyonyanyaswa na hawa mabwanaHuu Uzi umekaa vibaya au mwenzetu wewe co mtz nn?
Yeye mwenyewe hana na kama anacho ajira hana.Mfano cheti cha makonda kina tija gani kwako kijana
Kabisa mkuu mpaka pale akili zitakapo wakaa sawa.Naunga mkono hoja ni kutonunua kazi zao wala kuhudhuria show zao
Wampende tu ila isiwe sababu wasanii walioenda kupiga show kwenye sherehe za makada wa ccm eti wachukiwe hiyo ni ujinga wa level ya PhDNa wale wanaompenda Lema na hawana tofauti naye, unamwambieje mkuu.
JB
Steve nyerere
Batuli
Uwoya
Jokate
Rich
Wolper
Diamond
Mpoto
Mwenye nchi mwenyw anapenda shilawadu,mfalme juhaUdaku tena. Fanya kazi.