Harambeeee ya kutowaunga mkono wasanii wote wanaomuunga mkono Magufuli na Daudi Bashite

Tusinunue bidhaa na kutumia service ya ile kampuni inayo sponsor ufisadi, rushwa, inayojihusisha na biashara haramu, inayokwepa kodi formerly Home Shopping Centre. Wanatuharibia nchi yetu
 
Mfano cheti cha makonda kina tija gani kwako kijana
Haki bin haki! [HASHTAG]#utawalawasheria[/HASHTAG] [HASHTAG]#hamnamtujuuyasheria[/HASHTAG] [HASHTAG]#zoeziLaUhakikiWaVyetiLikoNchiNzima[/HASHTAG] [HASHTAG]#alilianzishaMagufuli[/HASHTAG]
 
Mfano cheti cha makonda kina tija gani kwako kijana
Uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma una faida gani kwa watanzania?

1. Elimu
2. Elimu
3. Elimu

Nenda katafute Elimu Mkuu.
 
Niache kupata burudani kisa siasa viongozi wenyewe kwenye clab za simba na yanga wanashirikiana sembuse wewe mkia
 
Na wale wanaompenda Lema na hawana tofauti naye, unamwambieje mkuu.
Wampende tu ila isiwe sababu wasanii walioenda kupiga show kwenye sherehe za makada wa ccm eti wachukiwe hiyo ni ujinga wa level ya PhD
 
huu ni upepo uta pita tu kama swala la vyeti linavyo sahaulika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…