Harambeeee ya kutowaunga mkono wasanii wote wanaomuunga mkono Magufuli na Daudi Bashite

huu ni upepo uta pita tu kama swala la vyeti linavyo sahaulika..
Nakumbuka ishu za;
-Januari Makamba na mzungu na Mwamvita,
-Mwigulu nchemba na jina lake,
-Hii ya cheti,
-etc

Hawa jamaa mpaka inafika 2020 watakuwa wamevimbiwa matango.
 
Nakumbuka ishu za;
-Januari Makamba na mzungu na Mwamvita,
-Mwigulu nchemba na jina lake,
-Hii ya cheti,
-etc

Hawa jamaa mpaka inafika 2020 watakuwa wamevimbiwa matango.
bila kusahau skendo ya alie kua naibu waziri wa elimu na vyeti vyake
 
Kweli wa tz tumejaa Chuki ume mshindwa bashite unataka uende kwa wAsanii.....ila yote sawa.....kinacho fata uanzishe na kampeni nyingine ya kuwachukia mashabiki zao.......
 
Nyie kama nani? Msitake kuwagawa watanzania kuna watu wanampenda jb au diamond na hawana hata ufahamu wa siasa na hawana chama hao mtawashawishije.Dogo hujielewi naona.

Wewe naye hujielewi, kasema wananchi na si mwanavyama. Katiba ni ya nchi na si ya vyama
 
Too bad kwa sababu inawezeka 75% wakawa wanamkubal maguful na makonda kuliko unavyofikiria ila ukiwa kweny social network hiz inaendana na mziki unaopigwa ili kujiepusha na kelel

Mkuu unafanya kazi twaweza? Mana una mawazo kama yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…