Hard Maths: Shinda Dollar Milioni Moja ($1,000,000)

Hard Maths: Shinda Dollar Milioni Moja ($1,000,000)

Teknocrat

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
4,967
Reaction score
11,056
Mnamo 1742, Mwahisabati nguli kwa jina la Christian Goldbach, alifikiria dhana ambayo ilimshinda kuijibu na kuomba Mwanahisabati mwingine mbobozi anayejulikana kwa jina la Leonhard Euler, kwa kumuomba ahakiki, dhana ifuatayo:
"kwanini kwa kila jumla ya namba tasa kamili zaidi ya 2, hutoa jibu la namba shufwa"
"why for every even integer x > 2, is the sum of two prime numbers?”)
Hii therem inaitwa, "The Goldbach Conjecture"
Hapa unatakiwa uhakiki kwanini hata ukipachika namba za ukubwa gani mbili za tasa, lazima zitoe jibu la namba shufwa, hata kama ni
Mpaka leo hii, hakuna aliyeweza kuhakiki hili swali, na tokea mnamo mwaka wa 2000, ilitolewa zawadi ya dollar millioni moja $1,000,000 ambayo mpaka hakuna aliyeshinda hii pesa ndefu

Na kuna nyingine inaitwa Collatz Conjecture, nayo pia ina dau la karibia hio pesa ndefu

Haya kazi kwenu wale PCM
 
Because prime numbers are odd numbers.
And the sum of two odd numbers results even number.

Hence shown.

Nipe dola milioni moja yangu.
 
Because prime numbers are odd numbers.
And the sum of two odd numbers results even number.

Hence shown.

Nipe dola milioni moja yangu.
Naona unaleta siasa za bongo kwenye vitu serious. Weka calculations sio siasa!
 
Back
Top Bottom