Hardest moment to be alive!

Hardest moment to be alive!

Life's tough mkuu,
Hakuna namna nzuri ya kuelezea ila kila mtu kwa namna yake anapitia changamoto. Iwe uchumi, mahusiano na mapenzi, afya, imani...hakuna aliyeko salama. Tunakuwa tu na vipindi vifupi vya ahueni, ila kila mtu kwa namna yake anapambana.

So, just calm down na tafuta njia nzuri ya kutatua changamoto yako, ikiisha hiyo amini nakuambia itakuja nyingine. Ndivyo tunavyoishi hadi siku ya kufa.
 
Jiambie hapo ulipo Kuna mtu anatamani awepo hapo au awe wewe lakini haiwezekani huku ukiendelea kupambana. Wewe unauwezo wa kupost hata thread Jf ila Kuna wengine hata hiyo smartphone kumiliki bado ni ndoto kubwa sana kwao endelea na MAPAMBANO.
 
Honestly hivi kila mtu maisha kwake ni magumu hivi?
au am cursed?
napitia ile moment ambapo kila kitu hakiendi,kila ninachogusa kinaharibika zaidi asee.
wezetu huwa mnapitaje kipindi kama hiki ?
mambo ni magumu mno aloo!
Tupo na shida zetu na tunatamba nazo, tuna familia zinatutegea na bia tunakunywa kama kawa.

Komaa ukiona kiza kinene ujuwe kunakaribia kukucha.
 
Na Unajiita mchumba chumvi sa sikia mkuu kuna watu humu. Wana mabusha na makubwa na wanafuraha, kuna mtu kama mzabzab ana HIV + ana kibamia(nimenukuu yeye mwenyewe alisema) 🤣

Kuna sisi majobless tuna degree lakini tunaomba tenda za kufyeka, kutembeza mayai, na hatujakata tamaa Intelligent businessman

"Ebu jipe moyo utayashinda" nyakati ngumu hazidumu, 🙏
 
Back
Top Bottom