Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Hakuna formula mkuu ushauri ninaoweza kukupa ni usisahau kuishi hata ukiwa katikati ya gizaUlifanyeje mkuu? Unakubaliana vipi na hali pale mambo yanakua meusi kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna formula mkuu ushauri ninaoweza kukupa ni usisahau kuishi hata ukiwa katikati ya gizaUlifanyeje mkuu? Unakubaliana vipi na hali pale mambo yanakua meusi kabisa.
Sawa nitashukuru sana maana hapa nna siku mbili sijalaUjobless pro max umepitiliza inabidi
C.E.O na founder wa Jobless Pro Max Association of Tanzania (JPMAT)
Ndg. Intelligent businessman
atoe mikakati kwa hili
Sili kwa wake za watuNjoo kwangu ule nimepika
Nani mke wa mtu?Sili kwa wake za watu
Si weweNani mke wa mtu?
Dah pole mkuu , hiyo bidhaa uza hata humuUna suffer katika Engo ipi? Ila Mzee hali ni ngumi kote tu kama mimi leo hadi jioni Duka linafungwa hamna Mteja hata mmoja aliyenunua.😪
Sina mumeSi wewe
Mkuu nipo vingunguti spenko shimo la maviKwani wewe unaishi wapi?
Sisi humu wa JF tunaishi Oysterbay, Masaki, na wengine wako Ulaya na US.......
Pole sanaGenerally tu maisha ni magumu ,kila kitu hakiendi
Kumbe!!!Sina mume
Nenda uvinza salt mine ukachimbe chumviHonestly hivi kila mtu maisha kwake ni magumu hivi?
au am cursed?
napitia ile moment ambapo kila kitu hakiendi,kila ninachogusa kinaharibika zaidi asee.
wezetu huwa mnapitaje kipindi kama hiki ?
mambo ni magumu mno aloo!
Weka namba upate hela ya kulapole sana hata me sijala ila naamini kesho tutakula.
Sio magumu hadi bando unalo!Honestly hivi kila mtu maisha kwake ni magumu hivi?
au am cursed?
napitia ile moment ambapo kila kitu hakiendi,kila ninachogusa kinaharibika zaidi asee.
wezetu huwa mnapitaje kipindi kama hiki ?
mambo ni magumu mno aloo!
Just struggleHonestly hivi kila mtu maisha kwake ni magumu hivi?
au am cursed?
napitia ile moment ambapo kila kitu hakiendi,kila ninachogusa kinaharibika zaidi asee.
wezetu huwa mnapitaje kipindi kama hiki ?
mambo ni magumu mno aloo!
Pole, ila ukiona mambo magumu yanakaa muda mrefu ujue unatakiwa ubadilike, Kuna mahala kwenye maisha yako panaitaji changes na wewe Bado unabishana na mabadilko, kubishana na hatima hakumwachi mtu salama,Honestly hivi kila mtu maisha kwake ni magumu hivi?
au am cursed?
napitia ile moment ambapo kila kitu hakiendi,kila ninachogusa kinaharibika zaidi asee.
wezetu huwa mnapitaje kipindi kama hiki ?
mambo ni magumu mno aloo!