Mchimba Chumvi
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 2,244
- 5,500
Kiongozi una familia🙌Honestly hivi kila mtu maisha kwake ni magumu hivi?
au am cursed?
napitia ile moment ambapo kila kitu hakiendi,kila ninachogusa kinaharibika zaidi asee.
wezetu huwa mnapitaje kipindi kama hiki ?
mambo ni magumu mno aloo!
Kila mtu tajiri humu😂😂Kwani wewe unaishi wapi?
Sisi humu wa JF tunaishi Oysterbay, Masaki, na wengine wako Ulaya na US.......
No no haiwezekani yakawa mapenziKwenye ishu gani? Mana isije ikiwa unazungumzia mapenzi 😎
Mimi sijala leoPole sana mkuu
Kuna mtu humu akisema hajala leo wanaJF watabisha na kumtukana sana.
Aisee mkuu ni hatari,mtaa umenunaPole sana mkuu
Kuna mtu humu akisema hajala leo wanaJF watabisha na kumtukana sana.
pole sana hata me sijala ila naamini kesho tutakula.Mimi sijala leo
Hongereni sana ,mtupe michongo tupate relief wakuuKwani wewe unaishi wapi?
Sisi humu wa JF tunaishi Oysterbay, Masaki, na wengine wako Ulaya na US.......
Tupo na shida zetu na tunatamba nazo, tuna familia zinatutegea na bia tunakunywa kama kawa.Honestly hivi kila mtu maisha kwake ni magumu hivi?
au am cursed?
napitia ile moment ambapo kila kitu hakiendi,kila ninachogusa kinaharibika zaidi asee.
wezetu huwa mnapitaje kipindi kama hiki ?
mambo ni magumu mno aloo!
Kwa mimi hata kesho sidhani labda mpaka jumapili huenda.........pole sana hata me sijala ila naamini kesho tutakula.