Hardest moment to be alive!

Una suffer katika Engo ipi? Ila Mzee hali ni ngumi kote tu kama mimi leo hadi jioni Duka linafungwa hamna Mteja hata mmoja aliyenunua.😪
Dah pole mkuu , hiyo bidhaa uza hata humu
Biashara imeshift sana kutoka kusubiria customers mpaka kutafuta wateja.

Mimi niko kwenye anguko kubwa la kiuchumi,nimeshindwa kujimudu mpaka nashangaa
 
Honestly hivi kila mtu maisha kwake ni magumu hivi?
au am cursed?
napitia ile moment ambapo kila kitu hakiendi,kila ninachogusa kinaharibika zaidi asee.
wezetu huwa mnapitaje kipindi kama hiki ?
mambo ni magumu mno aloo!
Pole, ila ukiona mambo magumu yanakaa muda mrefu ujue unatakiwa ubadilike, Kuna mahala kwenye maisha yako panaitaji changes na wewe Bado unabishana na mabadilko, kubishana na hatima hakumwachi mtu salama,
Pokea hayo magumu Kwa Mikono miwili kisha anza kubadilika, lazima Kuna mahala panaitajika mabadiliko, chunguza eneo unaloishi, mazingira yako, rafiki zako, watu wako wa karibuu, n.k
Ukifanyia kazi hili utakuja kutoa ushuhuda hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…