HARI YA MWAKA MPYA WAPENDWA JE NI KWELI MATUNDA YOTE YASIYO NA MBEGU NDANI YAMETENGENEZWA NA MWANADAMU KWENYE MAABARA

HARI YA MWAKA MPYA WAPENDWA JE NI KWELI MATUNDA YOTE YASIYO NA MBEGU NDANI YAMETENGENEZWA NA MWANADAMU KWENYE MAABARA

Marcy

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
2,430
Reaction score
5,910
Inasemekana matunda yasiyo na mbegu ndani asilimia kubwa yametengenezwa na mwanadamu na hayana nutrients
Halisi kama haya yaliyozalishwa na nature

Mfano kwasasa kuna machungwa , ndimu ,limao maembe nk yasio na mbegu ndani
Ukiuliza wanakwambia ni aina ya hayo matunda lakini kiuhalisia ni zalisho la mwanadamu
Pia ndizi hizi inasemekana si halisi ndizi halisi zina mbegu ndani

Matunda mengi tulayo sasa hayapo katika uhalisia wake
Je wana lengo gani??? Kuharibu
Nature na vitokavyo kwenye nature?

Maana vitokavyo kwenye nature vingi ni msaada katika miili yetu hasa kupambana na magonjwa
 

Attachments

  • 20250101_172515.jpg
    20250101_172515.jpg
    310.8 KB · Views: 4
  • 20250101_172537.jpg
    20250101_172537.jpg
    318.1 KB · Views: 5
Back
Top Bottom