Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

Ndio kazi yao hiyo na wanatumwa sana kuifanya na maisha yao yote kizani, ndio maana unamuona mshamba mshamba hajazoea maisha kwenye mwanga waungwana wanaishi vipi.
 
Hebu tuwekee hiyo video na sisi tuone hiyo jeans aseee
 
alishatumwa na yule 0
 
Sina iman hata tone kama aliye mnyoshea nape bastola ni askar wa kawaida
Waswas wangu ni wale wa kule jengo kuuu
 
Umechukizwa nini wakati ndiyo tabia yenu nyie ccm, mbona mumewakolimba watu wengi tu
 
Tujiandae kusikia tusivyovijua hata akitawala miaka mia ipo siku ninayoisubiri kwa hamu
 
Nape usikate tamaa, watatumia risasi, bomu na silaha zingine lakini HAKI haijawahi kushindwa na dhuluma, chuki, husda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…