Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True definition of "get rich or die trying"..[emoji23][emoji23][emoji23] harmorapa anajua kwenda na kiki [emoji23][emoji23]
Mabishoo wakiwa saluni wanasafisha kucha na kupaka super black Harmo Rapa kaibukia Clouds Media kuwapa pole..Kiboko ya mabishoo
Hahaha [emoji3] hata bradha Ngabu unamkubali kumbe Hamorapa
Kabisa nampa hongera kwa hiloNapenda spirit yake... Wakati mwingine ustaa hauji tu inatakiwa uutafute..
Alafu mimi na wewe tuna kibarua hatujakimaliza...Kabisa nampa hongera kwa hilo
[emoji19] [emoji19] [emoji19][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamorapa u are another!!! I can't u
Ni ile ile mkuu njoo tumalizieAlafu mimi na wewe tuna kibarua hatujakimaliza...
Namba yako ni ile ile?
Ushadharau sana nchi hii??hahahaaaa huyu dogo mambo yake sio ya nchi hii
Nyumba ikivamiwa na adau wakazi wote hushirikiana kuilinda hata kama walikuwa na ugomvi wao kwa waoNimeamini,, kumbe adui yako anaweza kuwa rafiki yako and vice versa is true.
Sugu wa Anti Virus volume 1,2 leo kaonyesha mfano.