Utawaweza clouds Yaani sasa hivi wamepata majanga kila mtu anaye wapa sympathy anakua besty yao. Ila kabla ya hapo,,,, aaaaa hawana habariHivi kabla ya tukio hili nyimbo za Harmorapa zilikuwa zinachezwa Clouds?
Na weweNikiangalia sura ya jamaa sijui hata kafanana na nini
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikiangalia sura ya jamaa sijui hata kafanana na nini
una undugu na huyu jamaa... mmetoka wote ntwara nini? hahah kama mnafanana hiv etNikiangalia sura ya jamaa sijui hata kafanana na nini
Mimi pia nilikuwa nampuuza,lakini kiboko ya mabishoo amenikuna coz sipendi mabishoooooWakuu yaani kama masihara hivi jamaa anazidi kuwika bhana!
Management yake inajua fitina[emoji38] [emoji38] [emoji38].sio kwa promo hizo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Harmorapa kaitumia fursa ...
Anamuogopa baba mlezi wao labdaDiamond hajaenda au anamuogopa nani!
Ova
Kweli kabisa katika hili nilimshusha sana thamani hata wale wakina Kenedy na Mamy walifata mkumbo hata kumtaja walikuwa hawataki as if wao ndio wamiliki wa kituo cha CloudsSi walikuwa wanamponda? B dozen ndio kabisa alikuwa hampendi kabisa huyu dogo bila kujali kwamba dogo nae anatafuta ugali
Adui yako aweza kuwa rafiki yako mkubwa sana baadaeSi walikuwa wanamponda? B dozen ndio kabisa alikuwa hampendi kabisa huyu dogo bila kujali kwamba dogo nae anatafuta ugali