Harmo rappa ashukuriwa na Clouds Media

Harmo rappa ashukuriwa na Clouds Media

"Harmorapa kiboko ya mabishoo" huyu kijana ni mjanja sana na anajua kucheza na fulsa so kitoto,pale clouds hakuna msanii aliekanyaga kuwapa pole hata wale waliokuwa wanapewa promo na kubebwa na clouds hawajaonekana,kweli rafiki yako anaweza kuwa adui yako wakati wa shida
 
dogo nimemkubali anajua kucheza na fursaa...safi sana
 
Diamond hajaenda au anamuogopa nani!

Ova
 
Si walikuwa wanamponda? B dozen ndio kabisa alikuwa hampendi kabisa huyu dogo bila kujali kwamba dogo nae anatafuta ugali
 
Si walikuwa wanamponda? B dozen ndio kabisa alikuwa hampendi kabisa huyu dogo bila kujali kwamba dogo nae anatafuta ugali
Kweli kabisa katika hili nilimshusha sana thamani hata wale wakina Kenedy na Mamy walifata mkumbo hata kumtaja walikuwa hawataki as if wao ndio wamiliki wa kituo cha Clouds
 
Back
Top Bottom