Kafrican hiyo sheria ya % ya local content kwenye Tv. na radio station Kenya ipo chini ya katiba mpya. Ila Media council of Kenya ilifika mahakamani kuishinikiza serikali iwape muda wa kutengeneza local content(shows na programmes) za kutosha kabla ya sheria yenyewe kuanza kutekelezwa.