Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Idea yake ni nzuri na inaweza kuwa ya kweli...inaweza kuwa nyimbo ijayo pia inayoitwa kugawana/nitagawana nao [emoji23]
It's good idea, lakini kwa maoni yangu angewaza kivingine zaidi, mfano kusomesha watoto yatima, kusaidia wenye uhitaji maalum n.kMungu akubariki Harmonize...
Tafuta jinsi ya kupata support kwenye hili..
I’m sure watu wako tayari kukuunga mkono in giving back to society
Mbona umepanic??Akimaliza na hili sijui litafuata nini.....
Ujinga mzigo.
Hilo la kusomesha watoto atafanya mtu mwingine yeye kachagua hili.It's good idea, lakini kwa maoni yangu angewaza kivingine zaidi, mfano kusomesha watoto yatima, kusaidia wenye uhitaji maalum n.k
Chakula hakijwahi kumtosheleza mtu, tumbo halina Shukran ukila asbh mchana tumbo linataka tena, ukila mchana usiku unahisi njaa...
Hivyo angesaidia watu ili waweze kujikwamua kiuchumi, kielimu hapo sawa