Harmonize a.k.a Kondeboy aja na chakula cha bure

Harmonize a.k.a Kondeboy aja na chakula cha bure

It's good idea, lakini kwa maoni yangu angewaza kivingine zaidi, mfano kusomesha watoto yatima, kusaidia wenye uhitaji maalum n.k
Chakula hakijwahi kumtosheleza mtu, tumbo halina Shukran ukila asbh mchana tumbo linataka tena, ukila mchana usiku unahisi njaa...
Hivyo angesaidia watu ili waweze kujikwamua kiuchumi, kielimu hapo sawa
kasomeshe ww yy kachagua kugawa chakula
 
Idea ya hivyo ukimpa MTU chakula kwa Siku 1 hujasaidia Bali umeongeza tatizo.

Agawe mitaji kwa hao anaowalenga kuwapatia hicho chakula. Ili wafanye kazi kuzalisha na wao kuwa na uhakika wa chakula kila kukicha.
 
Idea ya hivyo ukimpa MTU chakula kwa Siku 1 hujasaidia Bali umeongeza tatizo.

Agawe mitaji kwa hao anaowalenga kuwapatia hicho chakula. Ili wafanye kazi kuzalisha na wao kuwa na uhakika wa chakula kila kukicha.
Yeye kachagua hilo, wewe fanya hili ulilopendekeza.
 
Asisahau muda mzuri awe anatugawia saa tano au sita asubuhi na asisahau kua anatuwekea na kachumbari pembeni Mungu ambariki sisi tutasubiri tu msosi maana tunauhitaji njaa isituuwe
 
Haya mawazo!!!kazi ipo
Duniani hakuna cha Bure, hicho chakula cha konde boy Nina mashaka nacho, utakuta ukikila bure, unatolewa kafara, na watanzania Kwa kupenda vya bure, aisee konde boy atawatoa kafara wengii
 
Na ndio uwezo wake ulipofikia au wengine watajazilizia
I agree with you, Give a man a fish and you feed him for only a day; Teach him how to fish and you feed him for a lifetime.

Hata hivyo it's too early to make a conclusion what he meant by that post as there is distortion. Anyways, speaking of the case as we currently understand it, i would say, Give what you are capable of giving. Usijitie "ukonki" kwenye hamna... Uwezo wake umefika hapo, na ameona hicho ndicho anaweza hakuna shida kabisa.
 
Akimaliza na hili sijui litafuata nini.....

Ujinga mzigo.
Kwahio dogo wewe unasubiri harmonize aje na idea ipi na kuingiza hela , hujiulizi na wewe kesho utaingiza hela kiasi gani na utakuja na idea gani ya kupata hela nyingi.?!
 
Anaenda kwa speed sana,ahakikishe hapunguzi speed maaana mwendo anaotoka nao ni wa msafara wa Magufuli na zile Jammer na VX zake ni mwendo wa ving'ora tu huko njiani.

Ahakikishe ana maintain hiyo speed la sivyo mema yote anayoyaafanya sasa yatasahaulika in a second.
 
Hii idea amechukua kwa jaden smith mtoto wa will smith. Ni nzuri kama itafanikiwa kuwafikia wanaostahiki. Abarikiwe kwa kuwa na moyo wa ku share.
Watu kibao duniani wanafanya,

Tatizo mnaangalia miziki tu ya watu wakikata mauno, kwenye channel za ving'amuzi hasa food network haya mambo ni ya kawaida kwa wenzetu , sio jaden smith tu...
 
Back
Top Bottom