Harmonize a.k.a Kondeboy aja na chakula cha bure

Harmonize a.k.a Kondeboy aja na chakula cha bure

It's good idea, lakini kwa maoni yangu angewaza kivingine zaidi, mfano kusomesha watoto yatima, kusaidia wenye uhitaji maalum n.k
Chakula hakijwahi kumtosheleza mtu, tumbo halina Shukran ukila asbh mchana tumbo linataka tena, ukila mchana usiku unahisi njaa...
Hivyo angesaidia watu ili waweze kujikwamua kiuchumi, kielimu hapo sawa
Me nafkiri Hilo LA kusomesha ufanye ww, harmo kaamua Kugawa chakula
 
Kama nawaona mateja watakavyokuwa wanalifukuzia gari la chakula
 
Yeye kaachaguwa kugawa chakula ..wew gawa mtaji
Idea ya hivyo ukimpa MTU chakula kwa Siku 1 hujasaidia Bali umeongeza tatizo.

Agawe mitaji kwa hao anaowalenga kuwapatia hicho chakula. Ili wafanye kazi kuzalisha na wao kuwa na uhakika wa chakula kila kukicha.
 
Back
Top Bottom