Harmonize: A request of a boss is an order

Harmonize: A request of a boss is an order

Kama mondi anaweza kumcoach mtu aliyekua anaonekana hana mbele wala nyuma mpaka inafikia hatua anapewa promo na raisi akawe mbunge ! Mondi anastahili degree ya heshima kwani anafanya kazi ambayo hata vyuo vikuu vmeshindwa kwasasa!!
Khasante sana Mkuu humu tunaitaji point big kama hizo.
 
Ni africa tu pekee kila msanii akijulikana kidogo anawaza kuingia kwenye siasa japo kwengine wapo ila Africa kumezidi mana nakimbuka miaka kadhaa nyuma bongo karibu nusu wote walitaka kuwa wabunge ila nafasi wakakosa
 
Mungu ampe wepesi atimize ndoto zake, watu wanamnanga wanataka hizi ahadi angetoa Diamond ndio ingekuwapongezi na furaha kwao.
 
Hii ya kujiita "mbunge" kwenye majukwaa kabla ya muda wa uchaguzi inaweza kuwa hoja ya kupinga matokeo yake mahakamani iwapo atagombea na kushinda!!! Ila sababu refa wetu kibendera wetu, VAR yetu aendelee tu na kampeni!!!
 
Kama mondi anaweza kumcoach mtu aliyekua anaonekana hana mbele wala nyuma mpaka inafikia hatua anapewa promo na raisi akawe mbunge ! Mondi anastahili degree ya heshima kwani anafanya kazi ambayo hata vyuo vikuu vmeshindwa kwasasa!!
ni kweli kabisa, na sasa anatakiwa amcoach queen Darlene na Lavalava
 
Back
Top Bottom