mh, hili swali.....du!!!
Hakuna kitu WCB inawauna kuliko kumpoteza huyu Chinga kwenye timu yao.
nafikiri ushabiki wa namna hii tuutafutie jina jingine maana kuuita 'ushabiki' nafikiri ni kama kulinajisi neno lenyewe..Kuna ushabiki wa kipuuzi kweli kweli alichofanya konde boy kwani kaanza Mondi? Mashabiki wa hovyo kwa mondi ni wengi sana kuna wakati walikuwa wanamsifu sana Mondi kuwa anajiheshimu na kumtukana Ally Kiba kuwa hajiheshimu ana zaa hovyo na wanawake tofauti, yaliyomo sasa kusu hili yanafurahisha. Jamani waacheni vijana wasake pesa zao hata Ally choki alishapanda farasi leo akipanda mondi itakuwa kafanya jipya, Ally choki alishashuka na helikopta haya yote wafanyayo hawa ni marudio tu.
watu wenye njaa hao na wanataka kujipendekeza mpaka wanatoa maoni yao ya kipuuzi hao.nafikiri ushabiki wa namna hii tuutafutie jina jingine maana kuuita 'ushabiki' nafikiri ni kama kulinajisi neno lenyewe..
Mpaka clouds kusafiri kwenda kwao?Wanaosema mashabiki wa Diamond ni mbumbumbu hawajakosea. Kufanya shoo ni kumuiga? Mlitaka asifanye shoo? Kwahiyo Diamond anaiga clouds maana nao hayo yote washayafanya mpk kupiga shoo Kwenye treni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikupe shule bila ada wala nauli:Ukikutana na mtu ana wanga au analoga,wewe muigizie vile anavyofanya......akiinama nawe inama,akiinuka inuka,akichutama chutama,akipiga ukunga nawe piga ukunga,akichimba nawe chimba!!!!!Mwishowe ataacha atajiondokea zake akiwa hajatimiza alichotaka kutimiza,utakuwa salama.Sasa kuna mawili,atakuogopa na kukuacha kama ulivyo au ataondoka aende kujipanga vema upyaaaaa!!!!Lakini cha msingi,wewe nawe utapata muda mzuri wa kujipanga.Chukua hiyo.Harmonise "MondiRapa"!!! Wanaiga sana mondi. Naona ilianza Harmonize kumkubali sana Mondi toka alipokuwa WCB!!!
Maana kuanzia mziki mpaka swag zake, social media zake, kuanzisha festival, nk yaani kila kitu Hamo anamuiga Mondi!!. Mpaka sehem Mondi alipokuwa akipiga shows zake huko nje Hamo nae yupo mule mule.
Kwa hiyo nje huko bajeti yao ya kumuita Mondi ikipungua wanamwita "MondiRapa"!!!
Mpaka juzi mwenzake kafanya shereh ya kimila kutimiza miaka 10 na yeye kaiga huko kwao kusini!!! Mwenzako hiyo kaiweka kama anniversary we tayari ushaiga!!!!
Harmo na menejment yake wanajitahidi ila wabuni mambo yao mapya kwenye brand yao!!!! Walete vitu vipya kama lile gari la chakula!!!. Waache kabisa kufuatilia anachofanya Mondi, yaan wachukulie kama hayupo.
Hawawezi kuteka soko kwa kumuiga Mondi!! Badala ya kuzidi alipofikia Mondi ataishia kuonekana MondiRapa[emoji23]View attachment 1309103View attachment 1309104View attachment 1309106
💯💯💯Identinty ni kitu kikubwa sana kwenye sanaa, Harmonize kashajishape kama clone ya Diamond since mdogo, hivyo ni ngumu leo kumbadilisha.
Hakuna kitu atakachofanya pekee aone kama ni kizuri isipokuwa kama Diomond ameshakifanya kwanza.
Nilishangaa sana hasa kipindi kile akatoka na Wolper ambaye Diamond alishawahi kutoka naye pia.
Anahitaji management yenye akili na ubunifu, otherwise kupata endorsements zinazoeleweka ni ngumu
All na sisi pia mwaka huu wa 2020 tujitathmini, tuzisake, tutengeneze hela.
Wanaosema mashabiki wa Diamond ni mbumbumbu hawajakosea. Kufanya shoo ni kumuiga? Mlitaka asifanye shoo? Kwahiyo Diamond anaiga clouds maana nao hayo yote washayafanya mpk kupiga shoo Kwenye treni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Me namuonea huruma Ali Kiba tu maskini.Harmonise "MondiRapa"!!! Wanaiga sana mondi. Naona ilianza Harmonize kumkubali sana Mondi toka alipokuwa WCB!!!
Maana kuanzia mziki mpaka swag zake, social media zake, kuanzisha festival, nk yaani kila kitu Hamo anamuiga Mondi!!. Mpaka sehem Mondi alipokuwa akipiga shows zake huko nje Hamo nae yupo mule mule.
Kwa hiyo nje huko bajeti yao ya kumuita Mondi ikipungua wanamwita "MondiRapa"!!!
Mpaka juzi mwenzake kafanya shereh ya kimila kutimiza miaka 10 na yeye kaiga huko kwao kusini!!! Mwenzako hiyo kaiweka kama anniversary we tayari ushaiga!!!!
Harmo na menejment yake wanajitahidi ila wabuni mambo yao mapya kwenye brand yao!!!! Walete vitu vipya kama lile gari la chakula!!!. Waache kabisa kufuatilia anachofanya Mondi, yaan wachukulie kama hayupo.
Hawawezi kuteka soko kwa kumuiga Mondi!! Badala ya kuzidi alipofikia Mondi ataishia kuonekana MondiRapa😂View attachment 1309103View attachment 1309104View attachment 1309106
Mmakonde wa watu hana shida na mtu yeye anasaka pesa tu