Harmonize aache kuiga iga kwa Diamond

Harmonize aache kuiga iga kwa Diamond

Hakuna kitu WCB inawauna kuliko kumpoteza huyu Chinga kwenye timu yao.

Kwenye investments za Diamond huyu alikuwa ni dhahabu.

Diamond alikuwa na uhakika kwamba hata akiretire kuna mtu wa kuvaa viatu vyake, WCB ilikuwa kwenye mikono salama. Na nina uhakika Diamond alikuwa akimwangalia Harmonize anajiona ndani yake.

Sasa hivi inabidi Diamond mwenyewe achakalike mwenyewe, hana luxury ya kupumzika kama aliyokuwa nayo kipindi wako na Harmonize.
 
Kuna ushabiki wa kipuuzi kweli kweli alichofanya konde boy kwani kaanza Mondi? Mashabiki wa hovyo kwa mondi ni wengi sana kuna wakati walikuwa wanamsifu sana Mondi kuwa anajiheshimu na kumtukana Ally Kiba kuwa hajiheshimu ana zaa hovyo na wanawake tofauti, yaliyomo sasa kuhusu hili yanafurahisha. Jamani waacheni vijana wasake pesa zao hata Ally choki alishapanda farasi leo akipanda mondi itakuwa kafanya jipya, Ally choki alishashuka na helikopta haya yote wafanyayo hawa ni marudio tu.
 
Kuna ushabiki wa kipuuzi kweli kweli alichofanya konde boy kwani kaanza Mondi? Mashabiki wa hovyo kwa mondi ni wengi sana kuna wakati walikuwa wanamsifu sana Mondi kuwa anajiheshimu na kumtukana Ally Kiba kuwa hajiheshimu ana zaa hovyo na wanawake tofauti, yaliyomo sasa kusu hili yanafurahisha. Jamani waacheni vijana wasake pesa zao hata Ally choki alishapanda farasi leo akipanda mondi itakuwa kafanya jipya, Ally choki alishashuka na helikopta haya yote wafanyayo hawa ni marudio tu.
nafikiri ushabiki wa namna hii tuutafutie jina jingine maana kuuita 'ushabiki' nafikiri ni kama kulinajisi neno lenyewe..
 
Wamalize hizo tour zao waje kuanza kutoa nyimbo mpya watu tuburudike,tena napenda zisizo na collabo na wasanii wakubwa wa nje bongo,kiba,harmo na mond ili tujue nani pumzi imekata anabebwa na media tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harmonise "MondiRapa"!!! Wanaiga sana mondi. Naona ilianza Harmonize kumkubali sana Mondi toka alipokuwa WCB!!!

Maana kuanzia mziki mpaka swag zake, social media zake, kuanzisha festival, nk yaani kila kitu Hamo anamuiga Mondi!!. Mpaka sehem Mondi alipokuwa akipiga shows zake huko nje Hamo nae yupo mule mule.

Kwa hiyo nje huko bajeti yao ya kumuita Mondi ikipungua wanamwita "MondiRapa"!!!

Mpaka juzi mwenzake kafanya shereh ya kimila kutimiza miaka 10 na yeye kaiga huko kwao kusini!!! Mwenzako hiyo kaiweka kama anniversary we tayari ushaiga!!!!

Harmo na menejment yake wanajitahidi ila wabuni mambo yao mapya kwenye brand yao!!!! Walete vitu vipya kama lile gari la chakula!!!. Waache kabisa kufuatilia anachofanya Mondi, yaan wachukulie kama hayupo.

Hawawezi kuteka soko kwa kumuiga Mondi!! Badala ya kuzidi alipofikia Mondi ataishia kuonekana MondiRapa[emoji23]View attachment 1309103View attachment 1309104View attachment 1309106
Nikupe shule bila ada wala nauli:Ukikutana na mtu ana wanga au analoga,wewe muigizie vile anavyofanya......akiinama nawe inama,akiinuka inuka,akichutama chutama,akipiga ukunga nawe piga ukunga,akichimba nawe chimba!!!!!Mwishowe ataacha atajiondokea zake akiwa hajatimiza alichotaka kutimiza,utakuwa salama.Sasa kuna mawili,atakuogopa na kukuacha kama ulivyo au ataondoka aende kujipanga vema upyaaaaa!!!!Lakini cha msingi,wewe nawe utapata muda mzuri wa kujipanga.Chukua hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmakonde wa Ntwara huyo atakuja na kitu gani kipyaaa, bhaaaaa!
 
Identinty ni kitu kikubwa sana kwenye sanaa, Harmonize kashajishape kama clone ya Diamond since mdogo, hivyo ni ngumu leo kumbadilisha.

Hakuna kitu atakachofanya pekee aone kama ni kizuri isipokuwa kama Diomond ameshakifanya kwanza.

Nilishangaa sana hasa kipindi kile akatoka na Wolper ambaye Diamond alishawahi kutoka naye pia.

Anahitaji management yenye akili na ubunifu, otherwise kupata endorsements zinazoeleweka ni ngumu

All na sisi pia mwaka huu wa 2020 tujitathmini, tuzisake, tutengeneze hela.
💯💯💯
 
Kwa kifupi mambo mazuri huigwa, maisha yenyewe tunayoishi tumeiga kutoka mazingira tulikozaliwa.
Kuiga hakuepukiki.
Kumbuka Mondi na Konde wamefanya kazi pamoja, mipango pamoja, wamekula pamoja hivyo ni rahisi kila mmoja kumfanania mwenzake.
Itamchukua Konde zaidi ya miaka 5 kuwa yeye kama yeye.
Tabia hutengenezwa na mazingira, hivyo kukaa mbsli kwao kwa muda italeta matokeo ya kutengeneza tabia mpya.

Glenn/John
Wanaosema mashabiki wa Diamond ni mbumbumbu hawajakosea. Kufanya shoo ni kumuiga? Mlitaka asifanye shoo? Kwahiyo Diamond anaiga clouds maana nao hayo yote washayafanya mpk kupiga shoo Kwenye treni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harmonise "MondiRapa"!!! Wanaiga sana mondi. Naona ilianza Harmonize kumkubali sana Mondi toka alipokuwa WCB!!!

Maana kuanzia mziki mpaka swag zake, social media zake, kuanzisha festival, nk yaani kila kitu Hamo anamuiga Mondi!!. Mpaka sehem Mondi alipokuwa akipiga shows zake huko nje Hamo nae yupo mule mule.

Kwa hiyo nje huko bajeti yao ya kumuita Mondi ikipungua wanamwita "MondiRapa"!!!

Mpaka juzi mwenzake kafanya shereh ya kimila kutimiza miaka 10 na yeye kaiga huko kwao kusini!!! Mwenzako hiyo kaiweka kama anniversary we tayari ushaiga!!!!

Harmo na menejment yake wanajitahidi ila wabuni mambo yao mapya kwenye brand yao!!!! Walete vitu vipya kama lile gari la chakula!!!. Waache kabisa kufuatilia anachofanya Mondi, yaan wachukulie kama hayupo.

Hawawezi kuteka soko kwa kumuiga Mondi!! Badala ya kuzidi alipofikia Mondi ataishia kuonekana MondiRapa😂View attachment 1309103View attachment 1309104View attachment 1309106
Me namuonea huruma Ali Kiba tu maskini.
 
Back
Top Bottom