Harmonize aache kuiga iga kwa Diamond

kwa iyo na ww kuanzisha uzi umeiga

diamond anaiga mangap toka nje je? hakuna shida ila kwa hamo tu
Mondi anaiga nje analeta mapya bongo na brand yake inakua. Brand ya Hamo itakuwa kwa kumuiga Mondi? Hoja ya wao kujitafakari!!!
 
Mbona Diamond anaiga swaga za Ali Kiba sisi hatusemi kitu?
Kama nini kaiga kwa Ali kiba? Maana mengi watu wanakubali mondi kafanya kwa mara ya kwanza hapa bongo.
 
Yaani mkuu umelenga hasa kwenye mzizi wa hoja yangu. Mi nazungumzia branding sababu mwisho wa siku kuiga iga hakutakuza brand yake harmonize. Ile ya gari la chakula ilikua poa sana
 
Mkuu bongo hayajafanyika mengi yaliofanyika huko nje. Na ndo maana mondi anavuta mashabiki kwa kiwango ambacho haijapata kutokea. Hamo abuni mapya ambayo hatujaona bongo ili akuze brand yake.
 
Mondi anaiga nje analeta mapya bongo na brand yake inakua. Brand ya Hamo itakuwa kwa kumuiga Mondi? Hoja ya wao kujitafakari!!!
yanakuwaje mapya wakati tusha yaona huko nje ama yashafanyika huko nje

kuiga ni kuiga tu
 
yanakuwaje mapya wakati tusha yaona huko nje ama yashafanyika huko nje

kuiga ni kuiga tu
Sasa kwa nn brand ya mondi inakuwa wengine hawakui? Nani wa kwanza kufanya kolabo na wagineria, nani wa kwanza kutumia helikopta? Katika wasanii nani wa kwanza kuanzisha festival? Naniwa kwanza kuwa na media? Mengi tu na ndio maana brand ya mondi inakuwa.
 
yanakuwaje mapya wakati tusha yaona huko nje ama yashafanyika huko nje

kuiga ni kuiga tu
Labda nikuulize tu ni kwa nini brand ya mondi inakua? Ukipata jibu hapo litaelezea hoja
 
Mkuu bongo hayajafanyika mengi yaliofanyika huko nje. Na ndo maana mondi anavuta mashabiki kwa kiwango ambacho haijapata kutokea. Hamo abuni mapya ambayo hatujaona bongo ili akuze brand yake.

Watu hawajaelewa point yako.

Mimi nachukulia mfano mdogo wa Ray na Marehemu Kanumba.

Ray alikuwa ni copycat ya Kanumba, jamaa kuondoka Ray hatumsikii tena.
 
Watu hawajaelewa point yako.

Mimi nachukulia mfano mdogo wa Ray na Marehemu Kanumba.

Ray alikuwa ni copycat ya Kanumba, jamaa kuondoka Ray hatumsikii tena.
Shida wameweka sana unazi kwa hiyo hata useme nini mradi umezungimzia huyo hamo na mondi hawataki kuelewa. Ila na hakika menejment yake itaona hili maana huyo mchizi wao anatapatapa sana huku akimwangalia mondi badala ya kubuni yake mapya.
 
Cha Ajabu Mondi Akiiga Kitu Watu Watamsema Kaishiwa Anaiga Bt Kwa Mmakonde Wanatetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…