Harmonize aache kuiga iga kwa Diamond

Harmonize aache kuiga iga kwa Diamond

kwa iyo na ww kuanzisha uzi umeiga

diamond anaiga mangap toka nje je? hakuna shida ila kwa hamo tu
Mondi anaiga nje analeta mapya bongo na brand yake inakua. Brand ya Hamo itakuwa kwa kumuiga Mondi? Hoja ya wao kujitafakari!!!
 
Mbona Diamond anaiga swaga za Ali Kiba sisi hatusemi kitu?
Kama nini kaiga kwa Ali kiba? Maana mengi watu wanakubali mondi kafanya kwa mara ya kwanza hapa bongo.
 
Identinty ni kitu kikubwa sana kwenye sanaa, Harmonize kashajishape kama clone ya Diamond since mdogo, hivyo ni ngumu leo kumbadilisha.

Hakuna kitu atakachofanya pekee aone kama ni kizuri isipokuwa kama Diomond ameshakifanya kwanza.

Nilishangaa sana hasa kipindi kile akatoka na Wolper ambaye Diamond alishawahi kutoka naye pia.

Anahitaji management yenye akili na ubunifu, otherwise kupata endorsements zinazoeleweka ni ngumu

All na sisi pia mwaka huu wa 2020 tujitathmini, tuzisake, tutengeneze hela.
Yaani mkuu umelenga hasa kwenye mzizi wa hoja yangu. Mi nazungumzia branding sababu mwisho wa siku kuiga iga hakutakuza brand yake harmonize. Ile ya gari la chakula ilikua poa sana
 
Hakuna kipya, kinachofanywa Sasa ni uboreshaji tu wa yale yaliyokwishafanyika. Tazama show alizowahi kufanya Michael Jackson halafu tazama show nyingi zinazofanyika bongo, ndio utajua hakuna jipya zaidi ni kuongeza mbwembwe hapa na pale

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bongo hayajafanyika mengi yaliofanyika huko nje. Na ndo maana mondi anavuta mashabiki kwa kiwango ambacho haijapata kutokea. Hamo abuni mapya ambayo hatujaona bongo ili akuze brand yake.
 
Mondi anaiga nje analeta mapya bongo na brand yake inakua. Brand ya Hamo itakuwa kwa kumuiga Mondi? Hoja ya wao kujitafakari!!!
yanakuwaje mapya wakati tusha yaona huko nje ama yashafanyika huko nje

kuiga ni kuiga tu
 
yanakuwaje mapya wakati tusha yaona huko nje ama yashafanyika huko nje

kuiga ni kuiga tu
Sasa kwa nn brand ya mondi inakuwa wengine hawakui? Nani wa kwanza kufanya kolabo na wagineria, nani wa kwanza kutumia helikopta? Katika wasanii nani wa kwanza kuanzisha festival? Naniwa kwanza kuwa na media? Mengi tu na ndio maana brand ya mondi inakuwa.
 
yanakuwaje mapya wakati tusha yaona huko nje ama yashafanyika huko nje

kuiga ni kuiga tu
Labda nikuulize tu ni kwa nini brand ya mondi inakua? Ukipata jibu hapo litaelezea hoja
 
Mkuu bongo hayajafanyika mengi yaliofanyika huko nje. Na ndo maana mondi anavuta mashabiki kwa kiwango ambacho haijapata kutokea. Hamo abuni mapya ambayo hatujaona bongo ili akuze brand yake.

Watu hawajaelewa point yako.

Mimi nachukulia mfano mdogo wa Ray na Marehemu Kanumba.

Ray alikuwa ni copycat ya Kanumba, jamaa kuondoka Ray hatumsikii tena.
 
Watu hawajaelewa point yako.

Mimi nachukulia mfano mdogo wa Ray na Marehemu Kanumba.

Ray alikuwa ni copycat ya Kanumba, jamaa kuondoka Ray hatumsikii tena.
Shida wameweka sana unazi kwa hiyo hata useme nini mradi umezungimzia huyo hamo na mondi hawataki kuelewa. Ila na hakika menejment yake itaona hili maana huyo mchizi wao anatapatapa sana huku akimwangalia mondi badala ya kubuni yake mapya.
 
Cha Ajabu Mondi Akiiga Kitu Watu Watamsema Kaishiwa Anaiga Bt Kwa Mmakonde Wanatetea
 
Back
Top Bottom