Harmonize aache kuiga iga kwa Diamond

Harmonize aache kuiga iga kwa Diamond

Hiyo ndio asili ya muziki wa bongo, tulianza kuiga kwaito, tukahamia Nigeria sasa hivi tupo Congo, haya malalamiko ya fulani anamuiga fulani wakati wote wanaiga nje, mi naona kama malalamiko ya mazwazwa tu
 
WALIMKOMESHA RICH MOVOKO,KATOKA WCB AKAKWAMA KBS MASIKINI KIJANA KUTOKA MOROGORO,
SASA WAMEKUTANA NA KONDE BOY FROM TANDAHIMBA,UKIINAMA ANAIMA UKIINUKA NAE ANAINUKA
KAPAKWA DAMU HADHARANI YAN LILE ONYO THUBUTUUUU UINGIE ANGA ZANGU
MAANA ALIPOTOKA RICH MAVOKO YEYE ALIKUWEPO WCB INA MAANA,FITINA AU CHOCHOTE ALICHOFANYIWA MAVOKO ANAKIJUA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashabiki wa wcb n kama wamepandwa na vichaa, kwa kifupi wamevurugwa..
 
Wanaosema mashabiki wa Diamond ni mbumbumbu hawajakosea. Kufanya shoo ni kumuiga? Mlitaka asifanye shoo? Kwahiyo Diamond anaiga clouds maana nao hayo yote washayafanya mpk kupiga shoo Kwenye treni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Muambie huyo babu kizeee lol, mzee mzima upeo wake wa kufikiri umeishia pale, aibu naona Mimi jamani khaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Harmonise "MondiRapa"!!! Wanaiga sana mondi. Naona ilianza Harmonize kumkubali sana Mondi toka alipokuwa WCB!!!

Maana kuanzia mziki mpaka swag zake, social media zake, kuanzisha festival, nk yaani kila kitu Hamo anamuiga Mondi!!. Mpaka sehem Mondi alipokuwa akipiga shows zake huko nje Hamo nae yupo mule mule.

Kwa hiyo nje huko bajeti yao ya kumuita Mondi ikipungua wanamwita "MondiRapa"!!!

Mpaka juzi mwenzake kafanya shereh ya kimila kutimiza miaka 10 na yeye kaiga huko kwao kusini!!! Mwenzako hiyo kaiweka kama anniversary we tayari ushaiga!!!!

Harmo na menejment yake wanajitahidi ila wabuni mambo yao mapya kwenye brand yao!!!! Walete vitu vipya kama lile gari la chakula!!!. Waache kabisa kufuatilia anachofanya Mondi, yaan wachukulie kama hayupo.

Hawawezi kuteka soko kwa kumuiga Mondi!! Badala ya kuzidi alipofikia Mondi ataishia kuonekana MondiRapa[emoji23]View attachment 1309103View attachment 1309104View attachment 1309106
Mahaba peleka huko kigoma co hapa, msieeeeeeeeew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaosema mashabiki wa Diamond ni mbumbumbu hawajakosea. Kufanya shoo ni kumuiga? Mlitaka asifanye shoo? Kwahiyo Diamond anaiga clouds maana nao hayo yote washayafanya mpk kupiga shoo Kwenye treni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu soma vizuri nimesema anaiga nini. Show ndio kazi yao!
 
as long as ni mambo mazuri wacha aige tu, sioni tatizo. kama fulani amenunua gari na wewe ukaiga kununua gari tatizo liko wapi?

wakati hao wanaigana we umeshinda jamii forums kuwaanzishia mauzi mengi mengi, hebu kafanye kazi mdada.
Hata mondi kuna mambo anaiga sehem tofauti tofauti lakini anapenda ubunifu kuja na vitu vipya. Namshauri hamo ajiongeze kuleta vitu vipya ili hili game liendelee. La sivyo tutawachoka wote!!! Mi mdau tu wa sanaa
 
Nyoosha mikono juu,huku ukijipiga kifuani ukisema kwa sauti kubwa Mimi Ni mchawi eh Mungu nisaidie mwaka huu,,uniokoe
Sijakuekewa hapa. Nani mchawi sasa.🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Back
Top Bottom